kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,305
- 6,341
[emoji23][emoji23][emoji23]Hii timu itafika wakati timu pinzani zitagoma kwamba ni timu inayopaswa kucheza ligi kuu ya Uingereza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hii timu itafika wakati timu pinzani zitagoma kwamba ni timu inayopaswa kucheza ligi kuu ya Uingereza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji16][emoji16][emoji16]Kama ni ivyo basi baada ya huo mwezi mmoja nawaomba tff waiamuru Yanga iwe inapanga wachezaji 7+1 golikipa,maana hakuna timu itakayoweza kucheza na Yanga eleven kwa eleven.
[emoji16][emoji16][emoji16]Hakuna timu imewahi kuupiga mwingi kama Yanga ya mwaka huu, hata Simba wamekubali, kuna shabiki mmoja wa simba anasema yani kwa mpira huu na bado kocha wenu anasema ni 45%? Daahhh.
Umepotea sana kule kwetu kwingine naona mmasai anazidi kuku prove wrong na kukuangusha[emoji16]Yanick Bangala, huyu jamaa sio wakucheza África.
Ameshakubali tayari [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umepotea sana kule kwetu kwingine naona mmasai anazidi kuku prove wrong na kukuangusha[emoji16]
Kwasasa nishamkataa, naombea apate hata ajali afe, maana jamaa ishakua ngumu kufukuzwa.Umepotea sana kule kwetu kwingine naona mmasai anazidi kuku prove wrong na kukuangusha[emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwasasa nishamkataa, naombea apate hata ajali afe, maana jamaa ishakua ngumu kufukuzwa.
Kuzidi game ya jana, nimejikuta sina ham ya kuangalia mechi yeyote ile ya Man United mpaka Sorkjaer atakapo ondoka.
Kwa kweli!Ameshakubali tayari [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwasasa nishamkataa, naombea apate hata ajali afe, maana jamaa ishakua ngumu kufukuzwa.
Kuzidi game ya jana, nimejikuta sina ham ya kuangalia mechi yeyote ile ya Man United mpaka Sorkjaer atakapo ondoka.
Sasa hivi mwalimu Nabi anapaswa kuwafanyisha mazoezi maalumu ya kucheza pungufu.Kama ndio hivyo Mi mwenyewe tayari Yanga naiogopa aisee
Weweee, kwani umewasikia siku hizi, wako kimya, kama hawapo vile. Kimberembere kwisha.Kwani Mikia bado wanamshawasha wa kucheza na Yanga?
Hapo kwa Adeyun aweke bryson,kwa Bangala aweke akina chibada,atafute beki Wa kati toka timu B acheze na Ninja. Huko kwingine sawa tu. Hivi Blama wanatuambiaga tu yupo fit 100% mbona hachezi?Kocha kesho na mlandege twende hv
1. Erick Johola
2. Paul Boxer
3. Adeyun
4. Shaibu Ninja
5. Bangala
6. Mukoko
7. Nchimbi
8. Tafuta dogo wa U20
9. Makambo.
10. Farid
11. Kaseke
Wanapambania fair competition!Weweee, kwani umewasikia siku hizi, wako kimya, kama hawapo vile. Kimberembere kwisha.
Chibada si alitoewa kwa mkopo yule kaenda timu za kaskazini huko kama sio biashara basi geitaHapo kwa Adeyun aweke bryson,kwa Bangala aweke akina chibada,atafute beki Wa kati toka timu B acheze na Ninja. Huko kwingine sawa tu. Hivi Blama wanatuambiaga tu yupo fit 100% mbona hachezi?
Dogo Chibada yuko biashara kwa mkopo na anakiwasha kweliChibada si alitoewa kwa mkopo yule kaenda timu za kaskazini huko kama sio biashara basi geita
Bonge la mchezaji.Dogo Chibada yuko biashara kwa mkopo na anakiwasha kweli