SanaBonge la mchezaji.
Duuh basi ni jambo jema sana!Dogo Chibada yuko biashara kwa mkopo na anakiwasha kweli
Mimi ninauhakika wangecheza tu na jezi mechi zinazofwata. Maana hizo wangegawa sidhani kama kuna SHABIKI angezipokea. Hata wangefanya kuzitupa kama minada ya vijijini wafanya usafi wa uwanja wangezikuta zimetupika uwanjani kesho yake[emoji16]Kama Simba wangegawa jezi kama walivyogawa Yanga Jana kwa washabiki basi huenda mechi zinazofuata zote wangecheza vifua na matumbo wazi[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweli!Mimi ninauhakika wangecheza tu na jezi mechi zinazofwata. Maana hizo wangegawa sidhani kama kuna SHABIKI angezipokea. Hata wangefanya kuzitupa kama minada ya vijijini wafanya usafi wa uwanja wangezikuta zimetupika uwanjani kesho yake[emoji16]
Inakasirisha Sana weekend mbili zinapita bila kuiona Yanga ikichezaBora hii break kwa ajili ya national teams imeisha turudi kwenye raha ya clubs mana team ya taifa hatuna miaka nenda miaka rudi ni uozo.
Muite Frank Wanjiru kule aliko anazinguaInakasirisha Sana weekend mbili zinapita bila kuiona Yanga ikicheza
Saa 10:00 mkuuGame saa ngp wakuu.
Tunasubiri soka la burudani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani leo inatakiwa tupige mtu hata nne au tano ili iwe fundisho na salaam kwa wengine wote