Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kama Simba wangegawa jezi kama walivyogawa Yanga Jana kwa washabiki basi huenda mechi zinazofuata zote wangecheza vifua na matumbo wazi[emoji16]
Mimi ninauhakika wangecheza tu na jezi mechi zinazofwata. Maana hizo wangegawa sidhani kama kuna SHABIKI angezipokea. Hata wangefanya kuzitupa kama minada ya vijijini wafanya usafi wa uwanja wangezikuta zimetupika uwanjani kesho yake[emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweli!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora hii break kwa ajili ya national teams imeisha turudi kwenye raha ya clubs mana team ya taifa hatuna miaka nenda miaka rudi ni uozo.
 
Mechi ya kufungwa yanafungwa, mechi ya kushinda yanasuruhu, mechi ya kusuruhu yanafungwa majibwa haya.
 
FT
Simba SC 1 _ 3 kitayosa
⚽ Joseph DK 12⚽⚽tshishimbi 41_75
⚽ Majiwe Pablo Franco bado anakibarua kizito ili kupata kikosi cha wachapa kazi .
 
Kosi letu la leo.
Screenshot_20211120-154431.jpg
 
Back
Top Bottom