Oyeeeeeee, Hapa mikia watapoteana tu.Wananchi
A.k.a Mme wa Makolo [emoji3][emoji16]Vyuraa[emoji196][emoji196]
a.k.a
Utopolo[emoji12]
a.k.a
Gongowazi[emoji38]
a.k.a
Kandambili[emoji275]
a.k.a
Mama J Fc[emoji51]
a.k.a
Kabwili FC[emoji1783]
a.k.a
.....................
Dooh!! Hamna mkuu kwa sasa nimetingwa kidogo.Mm nikaanza kufikiri huenda muisrael kashafanya yake (jokes)[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaaani ulichotufanyia sio sawa kabisa tumeangaika kipindi cha yanga mbovu halafu plus matusi ya JF 😂😂😂sasa hivi doctor (aucho) kapatikana haupo eti
Shemela Shadeeya umeadimika sana.Dooh!! Hamna mkuu kwa sasa nimetingwa kidogo.
Cc ShadeeyaUsiku wa deni haukawii kucha.
SIMBA NGUVU MOJA
Usiku wa deni haukawii kucha.
SIMBA NGUVU MOJA
Nawakumbusha tu, since 2019 Simba haijawahi kumfunga Yanga kwenye ligi[emoji116][emoji116][emoji116]
Kumbe lakini mbona hata kombe mlikuwa hamchukui tunajua nyie ni timu ndogo mnakazia timu kubwa Ila wadogo wanawafanya hamnaNawakumbusha tu, since 2019 Simba haijawahi kumfunga Yanga kwenye ligi[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2040377View attachment 2040378
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbn unaongea huku hujiamini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumbe lakini mbona hata kombe mlikuwa hamchukui tunajua nyie ni timu ndogo mnakazia timu kubwa Ila wadogo wanawafanya hamna
Nipo shemela. Harakati za kusaka ugali zimeniweka busy kidogo Shem.Shemela Shadeeya umeadimika sana.
Mshukuruni sana Mungu. 😂😂