Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kila game tunaingia na plan yake. Ni mbinu za mchezo zile wenyewe mkajiona mmetuweza!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwa kweeeli. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ naona hata hii picha inaongea.
20211214_200102.jpg
 
Usifurahi kiviile, hao Ihefu wachanga sana. Wewe huoni ni kama vile mpo kwenye mazoezi mepesi tu?
Sema Timu ya Wananchi imeimarika. Kumbuka miaka miwili au mitatu nyuma jinsi Ihefu ilivyokuwa inatusumbua.

Kama sikosei tuliwahi cheza nao mwaka fulani walitukazia mbaya mpaka tukaja kuwatoa kwenye matuta.
 
Back
Top Bottom