Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Kila game tunaingia na plan yake. Ni mbinu za mchezo zile wenyewe mkajiona mmetuweza!πππMshukuruni sana Mungu. ππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila game tunaingia na plan yake. Ni mbinu za mchezo zile wenyewe mkajiona mmetuweza!πππMshukuruni sana Mungu. ππ
Kwa kweeeli. πππ naona hata hii picha inaongea.Kila game tunaingia na plan yake. Ni mbinu za mchezo zile wenyewe mkajiona mmetuweza!πππ
Hivi hujawahi kumsikia marehemu Mwalim Kashaha akisema wakati mwingine rafu ya kiufundi ni mbinu ya kumzuia mshambuliaji kiherehereπ€ͺKwa kweeeli. πππ naona hata hii picha inaongea.
View attachment 2044112
Hahahaaa. Lol.Hivi hujawahi kumsikia marehemu Mwalim Kashaha akisema wakati mwingine rafu ya kiufundi ni mbinu ya kumzuia mshambuliaji kiherehereπ€ͺ
CmbnπHahahaaa. Lol.
Poa poa shemela.Nipo shemela. Harakati za kusaka ugali zimeniweka busy kidogo Shem.
Dada[emoji23][emoji23][emoji23]Wanasema ukinuna uwe na sababu. [emoji3][emoji3] Mpaka half time haya ndo yalikuwa matokeo ya Timu ya Wananchi.
View attachment 2045320
Aiseee!! Nimeielewa hiyo Possession. πππ
Hapa refa atumie busara tu kwa kweli ikibidi game aimalize. ππ
[emoji3][emoji16]Hapa refa atumie busara tu kwa kweli ikibidi game aimalize. [emoji3][emoji3]
Niambie mdogo wangu. Kwema?Dada[emoji23][emoji23][emoji23]
Usifurahi kiviile, hao Ihefu wachanga sana. Wewe huoni ni kama vile mpo kwenye mazoezi mepesi tu?Aiseee!! Nimeielewa hiyo Possession. πππ
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Sema Timu ya Wananchi imeimarika. Kumbuka miaka miwili au mitatu nyuma jinsi Ihefu ilivyokuwa inatusumbua.Usifurahi kiviile, hao Ihefu wachanga sana. Wewe huoni ni kama vile mpo kwenye mazoezi mepesi tu?