Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Kwa kuwa haijawa Comfirmed wote tubakie kwenye kusikia tu Mtani.Nasikia mmemrudisha Metacha aliyewaonyesha kidole
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kuwa haijawa Comfirmed wote tubakie kwenye kusikia tu Mtani.Nasikia mmemrudisha Metacha aliyewaonyesha kidole
Anaugulia maumivu makali huko aliko nazani anajuta kua ukolokoloni [emoji3]Naona hata kujibu quote yako kashindwa lol.
Alijua Timu ya Wananchi inacheza mpira mdomoni. [emoji3][emoji3][emoji3]
Umeonaeee.Anaugulia maumivu makali huko aliko nazani anajuta kua ukolokoloni [emoji3]
Andika vizuri utopolo , ni nadhani sio nazani au ndio uthibitisho wa LucAnaugulia maumivu makali huko aliko nazani anajuta kua ukolokoloni [emoji3]
Mtani huyo mgonjwa muache atakupotezea muda. 😂
Abutwalib!Kwa kuwa haijawa Comfirmed wote tubakie kwenye kusikia tu Mtani.
Afadhalia wamemleta huyu mana zile rumos za Metacha hazikuwa na afya ndani ya Timu ya Wananchi.Abutwalib!
Yaani mimi mwenyewe hata sielewi yaani dah,nchi hii dahHii nchi ya hovyo sana.
Yani kuna watanzania wanakaa chini wanaamua kushabikia matimu ya ajabu ajabu kama utobwili