Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Magoli kama ya Mayele dhidi ya Biashara ndiyo yanayosababishaga wachezaji na washabiki Wa Simba washangilie na kunywa hadi bia baada ya kufanikiwa kumkaba Mayele! Kiukweli sasa ndio nimeelewa
 
Magoli ya Fiston kama lile la Jana dhidi ya Biashara ndiyo yanayosababishaga wachezaji na washabiki Wa Simba washangilie na kunywa hadi bia baada ya kufanikiwa kumkaba Mayele! Kiukweli sasa ndio nimeelewa ni kwa nini mabata yalishangilia na kugalagala kwenye madimbwi baada ya kumzuia FM9 asiwafunge
 
Hii nchi ya hovyo sana.
Yani kuna watanzania wanakaa chini wanaamua kushabikia matimu ya ajabu ajabu kama utobwili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…