Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Yanga siku hizi wanatoa vitu vikali na watu hela hatuna,dahh!!!

Hizi t-shirts nimezipenda [emoji169][emoji172] mno.Wapi kijani yake?
Acha kabisa Mkuu hivi vitu sio mchezo kwa kweli.

Sijajua kama ipo kijani. Tunakoelekea kama sisi wapenda mazoezi basi siku zote za wiki muda wa kwenda kupunguza mafuta basi tutakuwa tunatupia jezi tofauti ya Timu ya Wananchi. 😅😅
 
Yaani vile vikadi vya N CARD tunanunua bukubuku tu pale taifa nyie mnawauzia mazuzu wenu elfu 29?
Kweli hii nchi ina watu wa ajabu sana

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 

N-Card tunashukuru sana kuaminiwa na Klabu ya Yanga kuwa moja ya wadau ambao tutashiriki katika mchakato wa kihistoria wa kuleta mageuzi katika Klabu ya Yanga na maendeleo ya soka kwa Ujumla.

Mara baada ya kuingia mkataba huu na Klabu ya Yanga, Mashabiki wa Yanga wataweza kutumia kadi zao aidha ya kadi ya Mwanachama au ya Mshabiki ataweza kutumia kadi hiyo kununua tiketi yake kidigitali na kuweza kuingia uwanjani moja kwa moja, lakini pia kadi hiyo utaweza kulipia malipo mbalimbali"
 

Leo imekuwa siku ya kihistoria na sasa hivi klabu ya Yanga inaenda katika mabadiliko ya kidigitali na Kilinet tumepata fursa ya kufanya kazi na Yanga kuleta teknolojia za kisasa kwa ajili ya kuliwezesha ili jambo kufanyika kikamilifu.

Jukumu la Kilinet ni kuangalia na kuzifanyia kazi michakato na mikakati ya Yanga kwa kutumia teknolojia za kisasa"

Mkurugenzi mtendaji Kilinet Mohammed Saleh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…