Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Mkuu unakumbuka kipindi kile zahera alishawahi kutunusuru kwa kujitolea pocket money yake kuichangia yanga?Na ndio maana wamemrudisha zahera ili watuchangishe...
Naombea wasiije huku JF wawambie mods ambaye hajachanga asichangie nyuzi yoyote humu..
Bora makolo aseee kwa ajili ya uwanja, sisi ni kwa ajili ya posho za manara kama team imemsinda aseme irudi kwa wazee
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Sasa kwanini GSM anazidiwa maujanja kama hayo na mtu ambaye anamlipa mshahara?
Halafu huku JF hawawezi kuja si unajua ukifungua tu kwa nje kuna maandishi yanayosomeka "where we dare to talk openly"
Hlafu hiyo ya posho ya manara naiona kama ina make sense kwasababu project hii kaisimamia kidedea kweli yani