Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Wakuu...mi napendekeza GSM atupishe.....amesema tuchange 29k ili hela zitumike kumlipa Manara na Senzo. Hili si sawa halikubaliki na lazima litaondoka na mtu....
 
Wakuu...mi napendekeza GSM atupishe.....amesema tuchange 29k ili hela zitumike kumlipa Manara na Senzo. Hili si sawa halikubaliki na lazima litaondoka na mtu....
Kweli mkuu halafu hii taarifa haijaja kwa lugha nzuri ni kama wanajisahau kwamba hii timu ni ya wananchi na ndio wenye mamlaka ya nini chakufanya

So hii habari ya kutupa command za kipuuzi na kutuwekea mipaka kwenye uhuru wetu wa mitandao ya kijamii kwa kushawishi ma admin kua asiyechangia pesa hatakiwi kuchati linaleta tafsiri mpya kama hii timu wamejimilikisha wao na kutuona sisi kama vijakazi wao

Kwasababu haiwezekani GSM akalipia bilion 2 za udhamini halafu akashindwa kumalizana na hii ishu peke yake bila kuhusisha michango ya mashabiki, kumbuka ni juzi tu hapo tumetoka kuwacheka makolo kwa ishu hiyo hiyo ya michango....Sasa kwanini tunarudia ujinga ule ule?
 
Tusiwe kama makolo...
Kama team imemshinda aseme, na sio kutuambia bila 29k hakuna kuchat huu ni unyonyaji.

Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni SIMBA DAMU
 
Tusiwe kama makolo...
Kama team imemshinda aseme, na sio kutuambia bila 29k hakuna kuchat huu ni unyonyaji.

Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Kweli mkuu bora hata makolo hawakupangiwa dau, na tena angalau tulimuona hata kanjibai akitoa Bilion 2 kuwa influence mashabiki wajitolee zaidi

Lakini huyu boss wetu mpaka saizi hajatoa chochote na wala haoneshi dalili kwa siku za mbeleni, sasa yanga hii unaitofautishaje na ile ya misimu miwili iliyopita ya kutembeza bakuli?
 
Na ndio maana wamemrudisha zahera ili watuchangishe...
Naombea wasiije huku JF wawambie mods ambaye hajachanga asichangie nyuzi yoyote humu..
Bora makolo aseee kwa ajili ya uwanja, sisi ni kwa ajili ya posho za manara kama team imemsinda aseme irudi kwa wazee

Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…