Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,319
- 9,003
Eti Chiko Ushindi wa kubanza
kuweni serious basi
kuweni serious basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kitu kama hicho Yanga msimu huu lazima achukue ubingwa wa ligi amini au usiamini.. Mukoko ni mchezaji mzuri tu lakini ujio wa aucho ni kikwazo kwake pia kocha Nabi inaonekana haziivi na Mukoko. So the only solution kuokoa kipaji chake ni kuondoka kumbuka pale kati tumesajili pia Sureboy na pia tetesi za kutua kwa ciko ushindi zimepamba moto.. Yanga udhaifu nauona kwenye beki ya kushoto tu pengine tupo full hivi timi ina Job,mwamnyeto,Djuma,aucho,Faisal,bangala,Faridi,tibanzokiza,moloko na King Mayele isichukue kombe.. No iyo haipo hata kwa kulogwa... Hatuwezi kuzidiwa na kina kibu Denis [emoji23][emoji23]Unadhani si ajabu ikawa ivo tena.
Ujue Mkuu aka kameshakuwa kaugonjwa ketu.Hapa naona ndo una hoja ya msingi sana "hatuwezi kuafanikiwa kwa kutengeneza timu kila msimu"
Mmeambiwa msivuke reliNaona mmeanza kututisha na Albadili. [emoji1787][emoji1787]
Huyo Coastal anakaa bila hata kona kona.
Nilikuwa nakusoma kwa Id nyingineEti Mmbeeea. Naona ushaanza kuwa Sugu. [emoji28][emoji28]
Yaani ukishajua kuna mechi na nitakusakama basi unavamia watu majukwaani ili upigwe Ban upate kunikwepa. Lol.
Kuwa mpoleUnadhani si ajabu ikawa ivo tena.
Itakuwa vizuri na sisi tuvimbe na kutamba 😅 Mtaani sio tunatamba wee ila mwisho wa siku tunaishia kusema zile kauli za "Msimu ujao zamu yetu" huku miaka inasonga.Hakuna kitu kama hicho Yanga msimu huu lazima achukue ubingwa wa ligi amini au usiamini.. Mukoko ni mchezaji mzuri tu lakini ujio wa aucho ni kikwazo kwake pia kocha Nabi inaonekana haziivi na Mukoko. So the only solution kuokoa kipaji chake ni kuondoka kumbuka pale kati tumesajili pia Sureboy na pia tetesi za kutua kwa ciko ushindi zimepamba moto.. Yanga udhaifu nauona kwenye beki ya kushoto tu pengine tupo full hivi timi ina Job,mwamnyeto,Djuma,aucho,Faisal,bangala,Faridi,tibanzokiza,moloko na King Mayele isichukue kombe.. No iyo haipo hata kwa kulogwa... Hatuwezi kuzidiwa na kina kibu Denis [emoji23][emoji23]
Ushamaliza kutoa tangazo[emoji16]Hakuna kitu kama hicho Yanga msimu huu lazima achukue ubingwa wa ligi amini au usiamini.. Mukoko ni mchezaji mzuri tu lakini ujio wa aucho ni kikwazo kwake pia kocha Nabi inaonekana haziivi na Mukoko. So the only solution kuokoa kipaji chake ni kuondoka kumbuka pale kati tumesajili pia Sureboy na pia tetesi za kutua kwa ciko ushindi zimepamba moto.. Yanga udhaifu nauona kwenye beki ya kushoto tu pengine tupo full hivi timi ina Job,mwamnyeto,Djuma,aucho,Faisal,bangala,Faridi,tibanzokiza,moloko na King Mayele isichukue kombe.. No iyo haipo hata kwa kulogwa... Hatuwezi kuzidiwa na kina kibu Denis [emoji23][emoji23]
Unijuze niifahamu hebu.Nilikuwa nakusoma kwa Id nyingine
Lakini msimu huu hatuwezi kuingia kwenye huo mtego kama misimu miwili iliyopita kulingana na quality of players.. Mfano ni ngumu kumuacha Bangala,aucho, Djuma, Saidoo,na mayele.. Ambao na mashaka nao ni makambo, moloko na yakoubaUjue Mkuu aka kameshakuwa kaugonjwa ketu.
Bila Uongozi kuutafutia namna tutabakia kujuta kila Msimu.
Chama ndo kaja leo mshaanza kukata tamaa za ubingwa[emoji28]Itakuwa vizuri na sisi tuvimbe na kutamba [emoji28] Mtaani sio tunatamba wee ila mwisho wa siku tunaishia kusema zile kauli za "Msimu ujao zamu yetu" huku miaka inasonga.
Mana inafikiaga hatua hata jezi hatuvai tena. Zinabakia za kufanyia mazoezi mida ya jioni. [emoji28]
SawaUnijuze niifahamu hebu.
Huu msimu utavaa jezi jifunze kusoma alama za nyakati tena Yanga alivofungwa na Azam tukakosa ubingwa wa mapinduzi itakua ni chachu zaidi kozi sasa hivi presha inazidi kupanda kuliko tungeshinda kombe wachezaji wangebweteka... Sema kocha awape nafasi pia kina ambundo mgushi na bwana mdogo nkane ili kuwepo na ushindani wa namba...Itakuwa vizuri na sisi tuvimbe na kutamba [emoji28] Mtaani sio tunatamba wee ila mwisho wa siku tunaishia kusema zile kauli za "Msimu ujao zamu yetu" huku miaka inasonga.
Mana inafikiaga hatua hata jezi hatuvai tena. Zinabakia za kufanyia mazoezi mida ya jioni. [emoji28]
Huyo Yacouba ikibidi aende tu. 😎Lakini msimu huu hatuwezi kuingia kwenye huo mtego kama misimu miwili iliyopita kulingana na quality of players.. Mfano ni ngumu kumuacha Bangala,aucho, Djuma, Saidoo,na mayele.. Ambao na mashaka nao ni makambo, moloko na yakouba
Uyu hapa[emoji2957]Unijuze niifahamu hebu.
Sasa chama nae ni mchezaji? [emoji23]Chama ndo kaja leo mshaanza kukata tamaa za ubingwa[emoji28]
Hatujakata tamaa hata.Chama ndo kaja leo mshaanza kukata tamaa za ubingwa[emoji28]
Ushauri na Nasaha ni muhimu kwa mashabiki wa Uto[emoji16]Huu msimu utavaa jezi jifunze kusoma alama za nyakati tena Yanga alivofungwa na Azam tukakosa ubingwa wa mapinduzi itakua ni chachu zaidi kozi sasa hivi presha inazidi kupanda kuliko tungeshinda kombe wachezaji wangebweteka... Sema kocha awape nafasi pia kina ambundo mgushi na bwana mdogo nkane ili kuwepo na ushindani wa namba...
Mnayo hela ya kuvunja mkatabaHuyo Yacouba ikibidi aende tu. [emoji41]
Mwimbaji[emoji16]Sasa chama nae ni mchezaji? [emoji23]