Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hongereni wananchi kwa ushindi. Msimu huu hakuna kucheka na kiumbe yoyote yule. Ni kutupia tu mishale ya kutosha, kama mlivyo fanya leo Mkwakwani..

Natamani pia kumuona Sure Boy akiingia kwenye kikosi cha kwanza mapema iwezekanavyo ili kuongeza ubunifu pale mbele baada ya Fei Toto kuonekana kama ana fatique vile!!
 
Hakika Mkuu hakuna kucheka na mtu this time na hapa naamini kikosi chetu si cha mchezo mchezo hasa ukizingatia game za miaka miwili nyuma vile ilikuwa tukicheza na Coastal unaangalia mpira kwa presha mwanzo mwisho ila mwaka huu unaangalia mpira ukijua kabisa Coastal hana chake.
 
Unamaono kama mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…