Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Ninavyojua Mchezaji Kutambulishwa inakuwa Tayari alishasajiliwa na kuwekwa wazi. Kuna tabia ya Kutufanya Mashabiki ni MBUMBUMBU.

Utaona hiyo Surprise UTACHEKA
20220116_163025.jpg
Huenda ni hii basi.

CHICO USHINDI.
 
Hongereni wananchi kwa ushindi. Msimu huu hakuna kucheka na kiumbe yoyote yule. Ni kutupia tu mishale ya kutosha, kama mlivyo fanya leo Mkwakwani..

Natamani pia kumuona Sure Boy akiingia kwenye kikosi cha kwanza mapema iwezekanavyo ili kuongeza ubunifu pale mbele baada ya Fei Toto kuonekana kama ana fatique vile!!
 
Hakika Mkuu hakuna kucheka na mtu this time na hapa naamini kikosi chetu si cha mchezo mchezo hasa ukizingatia game za miaka miwili nyuma vile ilikuwa tukicheza na Coastal unaangalia mpira kwa presha mwanzo mwisho ila mwaka huu unaangalia mpira ukijua kabisa Coastal hana chake.
 
Hongereni wananchi kwa ushindi. Msimu huu hakuna kucheka na kiumbe yoyote yule. Ni kutupia tu mishale ya kutosha, kama mlivyo fanya leo Mkwakwani..

Natamani pia kumuona Sure Boy akiingia kwenye kikosi cha kwanza mapema iwezekanavyo ili kuongeza ubunifu pale mbele baada ya Fei Toto kuonekana kama ana fatique vile!!
Unamaono kama mimi
 
Back
Top Bottom