Kwa mbaali Mkuu naanza kupatamo matumaini japo ile second round namna tutakavyoanza ndo itaniaminisha zaidi.Ubingwa wa ligi ni wetu...
[emoji172][emoji172][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169]
Nakusalimia[emoji16]Kwa mbaali Mkuu naanza kupatamo matumaini japo ile second round namna tutakavyoanza ndo itaniaminisha zaidi.
Nasikia eti mmepakwa parachichi Mtani?Nakusalimia[emoji16]
Naumwa mafuaNasikia eti mmepakwa parachichi Mtani?
Halafu ulivyo kajanja hata hujatokea jana. [emoji1787]
Mtani malipo ni hapa hapa duniani[emoji16]Wakati wengine wakiendelea na masikitiko Wananchi tulishafika ndani ya Arusha kujiandaa dhidi ya Polisi Tanzania. [emoji28]
View attachment 2086444
Pole sana.Naumwa mafua
Ni kweli lakini Mbeya City atalipwa kwa kuchelewa sana. 🤣Mtani malipo ni hapa hapa duniani[emoji16]
Nyie ndo viherehereNi kweli lakini Mbeya City atalipwa kwa kuchelewa sana. [emoji1787]
Hivyo hapo munaombea sana tufungwe na Polisi Tanzania game ijayo?Nyie ndo viherehere