Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Wakuu game ya kesho munaizungumziaje anafungika Polisi Tanzania au ndio atachafua mlolongo wetu wa game za nyuma?
Nyepesi sana.

Mechi ya mwisho nadhani tulitoka sare nao ya moja moja.

Enzi hizo tulikuwa na wakina Sarpong na Fiston abdulrazak.

Yaani 80 percent ya wachezaji waliopo ivi sasa hawakuwepo siku hiyo.
 
Nyepesi sana.

Mechi ya mwisho nadhani tulitoka sare nao ya moja moja.

Enzi hizo tulikuwa na wakina Sarpong na Fiston abdulrazak.

Yaani 80 percent ya wachezaji waliopo ivi sasa hawakuwepo siku hiyo.
Ooh! Sawa Mkuu.

#DaimaMbeleNyumaMwiko.
 
Oyeeeee.

Na ile kauli yao ya eti hata mwaka jana ilikuwa hivi hivi huu ndio wakati wake wa kuifuta.
Jana wamekimbia hata kuhojiwa hawataki wamesahau kuwa ndiyo mpira ulivyo, Mimi nasubiri mechi ya Leo kwanza, siunajua polisi wanavyojua kubana. Lakini matumaini ya ushindi yapo.
 
Jana wamekimbia hata kuhojiwa hawataki wamesahau kuwa ndiyo mpira ulivyo, Mimi nasubiri mechi ya Leo kwanza, siunajua polisi wanavyojua kubana. Lakini matumaini ya ushindi yapo.
Na huu ndio mwanzo mbona watakimbia sana. Hahahaaa

Na hawa Polisi Tanzania ili kuwamudu yatupasa mpaka Half time tuwe walau tumewafunga hata bao moja au zaidi sababu tukisema tuende nao mpaka second half hatujapata bao basi ni dhahiri watatusumbua mno na kama ujuavyo hizi timu zetu ikitokea amepata bao basi ujue watafanya kila namna game iishe hivyo.
 
LINE UP YETU DHIDI YA POLISI TANZANIA
MSHERY
JUMA
JOB
MWAMNYETO
BANGALA
AUCHO
JESUS
FARID
NTIBAZONKIZA
MAYELE

SUBS:
ERIC, BACCA,BRYSON,MAUYA, AMBUNDO,SURE BOY, USHINDI, NGUSHI, MAKAMBO.
 
Back
Top Bottom