Jogoo wa Shamba II
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 3,373
- 6,532
Hatakuwa na majeruhiFeisal leo mbona hayupo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatakuwa na majeruhiFeisal leo mbona hayupo?
MajeruhiFeisal leo mbona hayupo?
Ooh. Sawa Mkuu.Majeruhi
HT 0 - 0
Mayele ni namba ingine aisee Mkuu.
Hatari na nusu imeupiga mwingi sanaFT Polisi Tanzania 0 Yanga 1
Khalafu hana namba kikosi cha mtani wetu. Wangehojiwa wale mabeki alio sepa nao kabla ya ambundo wangekuwa na uwezo wa kutuambia hali ilikuwajeMayele ni namba ingine aisee Mkuu.
Jamaa ni noma sana, si wa mchezo mchezo.Khalafu hana namba kikosi cha mtani wetu. Wangehojiwa wale mabeki alio sepa nao kabla ya ambundo wangekuwa na uwezo wa kutuambia hali ilikuwaje
Tarehe 29 dhidi ya Mbao kwenye Azam federation cup (DSM)Next match tuko na nan?
Hahahaaaa. Kamdhalilisha sana yule beki.Khalafu hana namba kikosi cha mtani wetu. Wangehojiwa wale mabeki alio sepa nao kabla ya ambundo wangekuwa na uwezo wa kutuambia hali ilikuwaje
Tarehe tano inabidi tumlipie kisasi Makolo FC. Hahahaaaa.Tarehe 29 dhidi ya Mbao kwenye Azam federation cup (DSM)
Tarehe 05 dhidi ya Mbeya city kwenye ligi kuu (DSM)
Na kweli shemela.Tarehe tano inabidi tumlipie kisasi Makolo FC. Hahahaaaa.