Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Dah kuna mtihani mzito sana kwa Nabi kuchagua ampange kipa yupi. Mshery [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] Diarra nae [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hakika Mkuu japo nadhani watamrudisha Diarra sababu ya unje wake si unajua tena mtu akishatoka nje ndo anaonekana anajua zaidi wakati kwa siku kadhaa zilizopita baada ya Mshery kupewa nafasi kiwango alichokionyesha ni kikubwa mno na kama huyo Diarra kamuacha kwa ubora basi ni kidogo mno na akikaza tu anamkaribia na hata kumpita pia.
 
Binafsi naona wanalingana, ametusaidia sana kipindi ambacho Diarra kaondoka na kaonesha kiwango ambacho wengi hawakutaraji. Kocha afanye busara ya kuwapanga zamu kwa zamu ili kuokoa viwango vya wote wawili lasivyo tutaua kiwango cha kipa mahiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…