Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hakika. Japo hii inategemea na benchi la ufundi nalo.Binafsi naona wanalingana, ametusaidia sana kipindi ambacho Diarra kaondoka na kaonesha kiwango ambacho wengi hawakutaraji. Kocha afanye busara ya kuwapanga zamu kwa zamu ili kuokoa viwango vya wote wawili lasivyo tutaua kiwango cha kipa mahiri
Si ajabu Mshery wakampanga game za FA pekee na ukiangalia ni chache sio kama za NBC Premier League.