Hakika. Japo hii inategemea na benchi la ufundi nalo.Binafsi naona wanalingana, ametusaidia sana kipindi ambacho Diarra kaondoka na kaonesha kiwango ambacho wengi hawakutaraji. Kocha afanye busara ya kuwapanga zamu kwa zamu ili kuokoa viwango vya wote wawili lasivyo tutaua kiwango cha kipa mahiri
Leo tunakiwasha tena. πWananchiiiiiii.......
19:00hrsJamani game saangapi
Na hawakawii kusema tumenunua wanasahau uwezo wetu upoje kwa sasa. πHII NCHI IMENICHOSHA SANA! SIJUI UFANYE LIPI UONEKANE MWEMA. SIMBA LEO TUNAMPIGIA MBABE WAKE LAKINI CHA AJABU WATACHUKIA!!*[emoji2297]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamechanganyikiwa Usiwaache Ni Kama Mgonjwa Akigoma Kunywa Dawa Hata Kwa Ngumi Atakunywa.HII NCHI IMENICHOSHA SANA! SIJUI UFANYE LIPI UONEKANE MWEMA. SIMBA LEO TUNAMPIGIA MBABE WAKE LAKINI CHA AJABU WATACHUKIA!!*[emoji2297]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakijitahidi sana basi mbili zinawahusu.Tunaendelea Tulipoishia Game Ya Mwisho Ya Ligi Kwa Mkapa Tulimtandika Dodoma Jiji 4 Za Moto.
Leo Naona Kunaendelea Pale Pale.
Young Africans, Here We Go.
π π πWamechanganyikiwa Usiwaache Ni Kama Mgonjwa Akigoma Kunywa Dawa Hata Kwa Ngumi Atakunywa.