Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Kisu Kimegusa Mfupa.[emoji848][emoji848]
View attachment 2113974
Sasa Kama Kila Kitu Tunaongoza Tutaachaje Na Huku Kuwashambulia TFF Na Wadau Wote.,[emoji23][emoji23][emoji23]Tumeamua ni mwendo wa Press tu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kabisa wapewe semina mana walishajisahau.Naona press zinaanza kuzaa matunda sasa.
Wapewe seminar tu hakuna namna.
Hahahaaa. Naona umeibuka.Mkutano wa mabinti wa Yanga na waandishi wa habari nasikia utakuwa kesho.
Tena na mie nitakuwepo pia nina yangu machache. Teh teh.Mkutano wa mabinti wa Yanga na waandishi wa habari nasikia utakuwa kesho.
Kwenye barua hawajawatoa GSM bado
Hakika. Wanazuga tu na maneno yao yasiyoelewa ila hapo ni kama ile press ya jana imewaingia kwa kichwa.Kisu Kimegusa Mfupa.
🤣🤣🤣Sasa Kama Kila Kitu Tunaongoza Tutaachaje Na Huku Kuwashambulia TFF Na Wadau Wote.,[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama.ulivo weweGsm matapeli[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mi mwenyewe nimeishangaa kwa nini bado wameiwacha.Kwenye barua hawajawatoa GSM bado
Mkae kwa kutuliaIla bana TFF wanajua kwenda na upepo yaani waamuzi washawapatia points kibao za kubumba halafu leo hii ndo wanaleta mambo ya Semina. [emoji853]
View attachment 2114242
Cc. Troisième Ceil
Eeh!! Ila wamejua kuwasogeza bana.Mkae kwa kutulia
Simba ndo inasababisha ligi yetu iwe bora na yenye mvuto,inabd mvumilie tukipewa upendeleo wowote[emoji16]Eeh!! Ila wamejua kuwasogeza bana.
Hamna lolote. Mnadhania hatujui mbinu zenu zile za spray. 😉Simba ndo inasababisha ligi yetu iwe bora na yenye mvuto,inabd mvumilie tukipewa upendeleo wowote[emoji16]