Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
I know that. 😀😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I know that. 😀😀😀
Hahahaaa. Kwangu hakuna Umeme bana nimesikia kelele kwa jirani. 🙈🙈🙈
Kaa hapo hapo usiondokeHahahaaa. Kwangu hakuna Umeme bana nimesikia kelele kwa jirani. [emoji85][emoji85][emoji85]
Nikae hapa Dirishani muda wote. 😎😎😎 Acha hizo bana Mtoto lete Updates.
[emoji3][emoji3]Yanga wenzio hadi mechi iisheNikae hapa Dirishani muda wote. [emoji41][emoji41][emoji41] Acha hizo bana Mtoto lete Updates.
Hahahaaaa. Itakuwa kwao Mtandao unasumbua bana. 😜😜
Nitakuwepo dakika zoteHahahaaaa. Itakuwa kwao Mtandao unasumbua bana. [emoji12][emoji12]
Ila hii iko kote kote sababu najua hata jumanne kuna wengine hatutawaona humu [emoji41] mpaka mechi na Al Ahaly iishe.
Wacha kuteseka Mtani sababu si kila siku Alhamis. Na ndio sababu hata nyie mlivyocheza na As Vita , Al Ahly mliitakia nguvu moja kheri ya ushindi huku dhahiri mkijijua nyie ni Underdog.
Nishaichangia aisee. Vp we tayari ushachanga? 😜😜
Wenzio sasa hao kina King Ngwaba. 🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Yupo jobWenzio sasa hao kina King Ngwaba. [emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Pole sana.Ndala wanataka kuniharibia Siku! Lakini mwisho wa Mchezo itakuwa 2 - 2
😂😂😂😂
Wenzio sasa hao kina King Ngwaba. 🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Tutakapoondoka nazo ndio hapo utakaposhangaa Mtani.Hamuondoki na points 3 trust me
ngapi ngapi hukoKing Ngwaba upo Mtani. Haya tumeshazichukua point zetu huko.
Full Time Jkt TZ 0 - Yanga 1ngapi ngapi huko