Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mwisho wa siku hizo 5 zilimpeleka wapi sasa
Hoja ni kwamba unayemwita mbovu alikupiga kipigo cha mbwa koko wewe ukashinda nyumbani 2-1 kwa mbinde mno sasa hapo nani amwite mwenzake mbovu?????
 
Hoja ni kwamba unayemwita mbovu alikupiga kipigo cha mbwa koko wewe ukashinda nyumbani 2-1 kwa mbinde mno sasa hapo nani amwite mwenzake mbovu?????
Hicho kipigo cha mbwa koko mwisho wa siku kilimpa faida gani kwake au kilimpeleka wapi zaidi ya kuburuza mkia wa kundi.
 
Hicho kipigo cha mbwa koko mwisho wa siku kilimpa faida gani kwake au kilimpeleka wapi zaidi ya kuburuza mkia wa kundi.
Waling'atwa na bata hahahahaha sasa mnadhani kiwango chenu kilikuwa bora kuwazidi wao, ubora wenu ulikuwa kwenye kapu la magoli kiukweli hapo mliongoza kundi
 
Hoja ni kwamba unayemwita mbovu alikupiga kipigo cha mbwa koko wewe ukashinda nyumbani 2-1 kwa mbinde mno sasa hapo nani amwite mwenzake mbovu?????
Leta msimamo wa kundi ulivyokuwa... kila mtu alishinda kwake hiyo mbinde ni mchezo gani?
 
Waling'atwa na bata hahahahaha sasa mnadhani kiwango chenu kilikuwa bora kuwazidi wao, ubora wenu ulikuwa kwenye kapu la magoli kiukweli hapo mliongoza kundi
Wangekuwa na kiwango wangeburuza mkia wa kundi nendeni mkamtafute mbovu zaidi
 
Itakuwa ni utaahira kuifananisha vita na simba usijitoe ufahamu.. Nyie endeleeni kula vipigo vya mbwa koko kule sauzi naona m'mepandisha kiwango kutoka hamsa mpaka wiki..
Nani anafananisha we chizi?... nimesema aliburuza mkia baada ya kupigwa na simba.
Hayo ya south africa hayakufanyi wewe yanga kuwa bora dhidi ya simba...
Nyie na vita club mliungana pale taifa Simba ikawapa kilicho bora kabisa.. na mwaka huu muandae pa kukimbilia kushangilia.
 
Msimamo ninaoujua mimi ni kwamba Mikia waliongoza kundi kwa kubebeshwa kapu zito sana la magoli...
Sawa kumbe na wewe una msimamo wako... ndio maana
Nakukumbusha kuwa simba alienda robo fainal na Vita club alirudi nyumbani.. (bisha tena)
 
Nani anafananisha we chizi?... nimesema aliburuza mkia baada ya kupigwa na simba.
Hayo ya south africa hayakufanyi wewe yanga kuwa bora dhidi ya simba...
Nyie na vita club mliungana pale taifa Simba ikawapa kilicho bora kabisa.. na mwaka huu muandae pa kukimbilia kushangilia.
Vita niliwashangilia kuanzia game ya kwanza kule Congo ukila mkono, Wewe ule vitasa vitano halafu ubahatishe kimoja unajiona bora ni ukichaa huo
 
Hebu nipe tathmini fupi ya kule Misri na Congo ulipoenda mara mbili kwa vita na TP??? Ilikuwaje
Unataka tathmini gani ,Tathmini ya ubora ilkuwa kwenye Group stage basi hakuna tathmini nyingine zaidi ya hiyo ,Msimamo wa kundi ulivyomalizika ndio ubora wa timu huo sio kufunga magoli.
 
WACHEZAJI WAPYA YANGA NA NAMBA ZAO ZA JEZI..Msimu 2019/2020

ISSA BIGIRIMANA JEZI NO: 10
PATRICK SIBOMANA JEZI NO: 9
SADNEY ULKHOB JEZI NO; 17
JUMA BALINYA NO: 18
MAYBIN KALENGO JEZI NO: 19
METACHA MNATA JEZI NO; 30
MUHARAMI ISSA JEZI NO: 2
ALLY H. ALLY JEZI NO: 14
BALAMA MAPINDUZI NO: 7
ALLY MTONI SONSO JEZI NO: 3
ABDULLAZIZ MAKAME NO: 21
LAMINE MORO JEZI NO: 25
MUSTAPHA SULEIMAN NO; 15
FAROUK SHIKALO NO: 1
FB_IMG_1563621754092.jpg
 
WACHEZAJI WAPYA YANGA NA NAMBA ZAO ZA JEZI..Msimu 2019/2020
ISSA BIGIRIMANA JEZI NO: 10
PATRICK SIBOMANA JEZI NO: 9
SADNEY ULKHOB JEZI NO; 17
JUMA BALINYA NO: 18
MAYBIN KALENGO JEZI NO: 19
METACHA MNATA JEZI NO; 30
MUHARAMI ISSA JEZI NO: 2
ALLY H. ALLY JEZI NO: 14
BALAMA MAPINDUZI NO: 7
ALLY MTONI SONSO JEZI NO: 3
ABDULLAZIZ MAKAME NO: 21
LAMINE MORO JEZI NO: 25
MUSTAPHA SULEIMAN NO; 15
FAROUK SHIKALO NO: 1View attachment 1158196
Namba ya LEGEND NADRI HAROUB na Captain AJIBU vipi?
 
Back
Top Bottom