3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,884
Anajua ila anajaribu kufuturu mchana kwenye chumba chenye gizaUmemuambia hapo juu leta msimamo wa kundi ulivyomalizika tuone hiyo timu anayosema ni bora ilimaliza ya ngapi ana piga blabla tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anajua ila anajaribu kufuturu mchana kwenye chumba chenye gizaUmemuambia hapo juu leta msimamo wa kundi ulivyomalizika tuone hiyo timu anayosema ni bora ilimaliza ya ngapi ana piga blabla tu
Iyo group stage kama ingekuwa ni knockout stage usingetoboa labda kwa saoura peke yake , sababu nyumbani ulishinda sawa lakini away ulikuwa unafyatuliwa mpaka raha yaniUnataka tathmini gani ,Tathmini ya ubora ilkuwa kwenye Group stage basi hakuna tathmini nyingine zaidi ya hiyo ,Msimamo wa kundi ulivyomalizika ndio ubora wa timu huo sio kufunga magoli.
Alitoka mikia wakachukua kombeHuyo unayesema ni bora alifika wapi na huyu mbovu alifika wapi
Hizo taarabu tuu, zile zile timu za kwenye group ukikutanishwa nazo kwenye mtoano home & away humtoi hata m'moja.. Tukiacha ngonjeraAnajua ila anajaribu kufuturu mchana kwenye chumba chenye giza
Hahahahahahahahah Leta msimamo wa kundi hapa tuone hao FM Academia walimalizaje kundiAlitoka mikia wakachukua kombe
Huyo As vital alishinda mechi gani ya Away au hata kutoa drawIyo group stage kama ingekuwa ni knockout stage usingetoboa labda kwa saoura peke yake , sababu nyumbani ulishinda sawa lakini away ulikuwa unafyatuliwa mpaka raha yani
Kwa hiyo CAF na FIFA wanafanya makosa kuweka timu katika makundi? Pia TFF inafanya makosa kuendesha mechi kwa mtindo wa ligi badala ya mtoano?Iyo group stage kama ingekuwa ni knockout stage usingetoboa labda kwa saoura peke yake , sababu nyumbani ulishinda sawa lakini away ulikuwa unafyatuliwa mpaka raha yani
Huo mdomo wako sio mpira... game za mtoano niza tofauti sana na unavyokiriaHizo taarabu tuu, zile zile timu za kwenye group ukikutanishwa nazo kwenye mtoano home & away humtoi hata m'moja.. Tukiacha ngonjera
Hawezi kuleta kundi mkuu .. anaponda kisa tulifika malengo yetuHahahahahahahahah Leta msimamo wa kundi hapa tuone hao FM Academia walimalizaje kundi
Ajibu alikuwa anavaa namba 10,Nadir 23Namba ya LEGEND NADRI HAROUB na Captain AJIBU vipi?
Alitoka ila mikia away alishinda zoteHuyo As vital alishinda mechi gani ya Away au hata kutoa draw
Kufika malengo yenu kusiwafanye kujiona bora zaidi ya waliokuzudi tatizo manara kashashikia akili mnamwamini hata akiwalisha makamasiHawezi kuleta kundi mkuu .. anaponda kisa tulifika malengo yetu
Sawa sikatai vipi na huyu mnayemwita mbovu..Huo mdomo wako sio mpira... game za mtoano niza tofauti sana na unavyokiria
Wale waarabu tuliwapiga 3-0 away.. home wakashinda 2-0, kwa mfano huu tungewatoa hawa sio kwamba wote wangetutoa.
Lakini mpira hauko hivyo fikiri tena... Ndio maana wengi tuliamiani kundi la simba hawezi kupita ila akapita
Ubora wetu ndio huo kufika malengo... hayo ya Manara ni povu lako tu lenye jazba na ubora wetu.Kufika malengo yenu kusiwafanye kujiona bora zaidi ya waliokuzudi tatizo manara kashashikia akili mnamwamini hata akiwalisha makamasi
Huyo ameonekana mbovu kwenye kundi letu, sio mbovu kwa uwezo wa jumla... wanatuzidi mbali tu.Sawa sikatai vipi na huyu mnayemwita mbovu..