Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Tumefunga la 3 mambo ya Stephen Mwasika hayoooooo Dk ya 45........... YANGA - 3 - 1 JKT RUVU
 
Full time yanga 3 jkt ruvu 1..........leo konyagi zitaniua man u tumemchaapa na huku yanga imeshinda leo siku nzuri sana kwangu
 
  • Thanks
Reactions: SG8
clab ambayo ipo serious so far Tz sijaona kama Azam otherwise una lako jambo

kinachofanya azam uwaone serious simple cos ni timu ya mtu mmoja,ni mali ya mtu so huwezi letea kitu chako unafiki, kinachufanya uone simba na yanga sio serious cos zile club ni za wanachama na uwezi jua nia ya kila mwanachama kwamba yupo kwa maslah yake binafsi au ya club wazungu wanasema public propert is no body propert ndivyo ilivyo simba na yanga, azam unatakiwa uifananishe na tp mazembe au africa lyon cos is body propert, hunielewi hutonielewa tena simba na yanga watu wapo kwa ajili ya kupata umaarufu tu na sio kuiendeleza club jua hilo
 
kinachofanya azam uwaone serious simple cos ni timu ya mtu mmoja,ni mali ya mtu so huwezi letea kitu chako unafiki,kinachufanya uone simba na yanga sio serious cos zile club ni za wanachama na uwezi jua nia ya kila mwanachama kwamba yupo kwa maslah yake binafsi au ya club wazungu wanasema public propert is no body propert ndivyo ilivyo simba na yanga,azam unatakiwa uifananishe na tp mazembe au africa lyon cos is body propert,hunielewi hutonielewa tena simba na yanga watu wapo kwa ajili ya kupata umaarufu tu na sio kuiendeleza club jua hilo

Yeah nimekuelewa! kwa akili hizi ndio maana Tz tutabaki omba omba milele....
 
Yeah nimekuelewa! kwa akili hizi ndio maana Tz tutabaki omba omba milele....

Kaka na huo ndio urithi wetu,kuna mtu kaingia na gia ya cku mia za uongozi wake karudisha umeme na maji na kupaka rangi jengo, anaongoza timu kwa kukurupuka tu, anakaa akiona umaarufu unafifia anakuja na sera za uwanja porojo kapotea, sasa kaja na sera za kujenga kitega uchumi pale msimbazi, muda si mrefu kasema anawapeleka wakandarasi mahakamani kwa udanganyifu wa foundation ya ghorofa, ametulia kidogo kuna siku sijui atakuja na nn ngoja tuone, wenzetu kule kila cku kurumbana na kocha wao, mara wamemlima barua, mara anatakiwa kutoa report ya timu kila kitu ni vurugu simple cos is no body propert

Azam wametulia husikii marumbano wala makelele kwenye vyombo vya habari mwaka huu ukiisha utasikia wana uwanja wa kuingiza watu elf 30 waliokaa hakuna makelele kila kukicha wanasonga mbele, club kongwe zitabaki na ukongwe wao cos kila kitu huwa ni historia tu
 
Kaka na huo ndio urithi wetu,kuna mtu kaingia na gia ya cku mia za uongozi wake karudisha umeme na maji na kupaka rangi jengo,anaongoza timu kwa kukurupuka tu,anakaa akiona umaarufu unafifia anakuja na sera za uwanja porojo kapotea,sasa kaja na sera za kujenga kitega uchumi pale msimbazi,muda si mrefu kasema anawapeleka wakandarasi mahakamani kwa udanganyifu wa foundation ya ghorofa,ametulia kidogo kuna siku sijui atakuja na nn ngoja tuone,wenzetu kule kila cku kurumbana na kocha wao,mara wamemlima barua,mara anatakiwa kutoa report ya timu kila kitu ni vurugu simple cos is no body propert,Azam wametulia husikii marumbano wala makelele kwenye vyombo vya habari mwaka huu ukiisha utasikia wana uwanja wa kuingiza watu elf 30 waliokaa hakuna makelele kila kukicha wanasonga mbele,club kongwe zitabaki na ukongwe wao cos kila kitu huwa ni historia tu

Mkuu hapo umenena
 
kinachofanya azam uwaone serious simple cos ni timu ya mtu mmoja,ni mali ya mtu so huwezi letea kitu chako unafiki,kinachufanya uone simba na yanga sio serious cos zile club ni za wanachama na uwezi jua nia ya kila mwanachama kwamba yupo kwa maslah yake binafsi au ya club wazungu wanasema public propert is no body propert ndivyo ilivyo simba na yanga,azam unatakiwa uifananishe na tp mazembe au africa lyon cos is body propert,hunielewi hutonielewa tena simba na yanga watu wapo kwa ajili ya kupata umaarufu tu na sio kuiendeleza club jua hilo

Mkuu, timu kuwa ya wanachama si tatizo mradi tu mfumo wa uendeshaji unakuwa wa kueleweka si kama ulivyo sasa. Wanachama wapo tangu zamani na mambo yalikuwa yanafanyika na yanaonekana, tofauti ya zamani na sasa ni kuwa wa zamani walipigana kujenga historia na sifa ya klabu hawa wa sasa wanataka sifa binafsi, so hata kama Azam itafanya mambo makubwa kiasi gani hawa wenzangu hawatajifunza wala kuiga kutoka Azam, kama wanashindwa hata kununua Yutong ya kubeba wachezaji safarini watajenga uwanja wa mazoezi, achilia mbali tu wa kuingiza watu 18,000!!
 
Well said.
 
Back
Top Bottom