Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukifika pale Lusaka, kuna duka kubwa limeandikwa TIMU MBADALA BAADA YA UD SONGO KUFANYA YAOHivi jezi za ZESCO zinauzwa wapi ninashida nazo sana.
Mtavaa sanaHivi jezi za ZESCO zinauzwa wapi ninashida nazo sana.
Naunga mkono hojaZESCO nyie njooni na jezi za kutosha tu mashabiki mtatukuta hukuhuku.
Zifuate Zambia Mtani.Hivi jezi za ZESCO zinauzwa wapi ninashida nazo sana.
Ndio kilichobakia hiki Mtani. Nothing else. 😂😂😂ZESCO nyie njooni na jezi za kutosha tu mashabiki mtatukuta hukuhuku.
Hakika Mkuu!!! Mana tukitolewa na Zesco tunakwenda Shirikisho. Hivyo wajiandae kujaza makabati. 😜😜Mtavaa sana
Hapa ile kauli ya "What goes around comes back around" ndio inatumika sasa. 😅😅😅Tunawaahidi kufunga kila timu itakayoingia anga zetu. Hivyo mtavaa sana majezi ya timu za nje
HahahahaHapa ile kauli ya "What goes around comes back around" ndio inatumika sasa. [emoji28][emoji28][emoji28]
Zamu yetu Timu ya Wananchi sasa. [emoji3]
Mtani ama kweli "Simba akikosa nyama anakula hadi nyasi" 💃💃💃Naunga mkono hoja
Yah! Kutesa kwa zamu Mtani. 😀😀Hahahaha
Hivi zile jezi mlizonunua hamkujaza kabati?Mtani ama kweli "Simba akikosa nyama anakula hadi nyasi" 💃💃💃
Ndio maana nikasema zamu yenu sasa hivyo zile kauli mlizokuwa mnatupa kipindi tunanunua tunazirudhisha kama zilivyo Mtani. 😀😀Hivi zile jezi mlizonunua hamkujaza kabati?
KUELEKEA MBIO ZA KUWANIA UBINGWA WA TPL MSIMU WA 2019 / 2020 TIMU YA WANANCHI INAFUNGUA DIMBA KWA KUJITUPA UWANJA WA BIBI KUKIPIGA NA RUVU SHOOTING HAPO 16:00HRS. KILA LA KHERI TIMU YA WANANCHI.
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.
🙏🙏🙏 Natumai tutaanza vyema Mkuu.Kila la heri timu ya wananchi!
Hahahaha, kwa kweli kutesa kwa zamuYah! Kutesa kwa zamu Mtani. [emoji3][emoji3]