Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Sanaaa nilifurahi pia jinsi nchimbi alivyoonyesha ukomavu kwa Yale mapambano. Mana Mikia ikabidi iwe inamkaba miwilimiwili
Na kuna nafasi moja alipata kipindi cha kwanza na alikuwa ameshatoka kwenda kufunga ila mwamuzi akasema ni offside wakati haikuwa kweli pale.

20200105_114356.jpg

Hiyo hapo.
 
Back
Top Bottom