Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Ila mtashinda tu Mtani Kagera watoto wadogo tu kwenu.Wachezaji wanafanya masikhara mwishowe Kagera watapata la pili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila mtashinda tu Mtani Kagera watoto wadogo tu kwenu.Wachezaji wanafanya masikhara mwishowe Kagera watapata la pili.
😀😀😀 Hebu huko Mtani.Kwani hajapata faulo tusawazishe?
Mo Linger Fundi wa mpira
Hakika Mkuu.Yeah,hapa extra effort inahitajika
Ni half timeHakika Mkuu.
Kwani bado hamjapata matokeo yenu, mbona matokeo ya kidato cha nne yametoka kitambo tu.Amefanya shughuli iwe nzito aisee. Ila huenda tukapata matokeo.
Kama nakuona vile kimoyoni unavyofurahia. LolIla mtashinda tu Mtani Kagera watoto wadogo tu kwenu.
Nyuma Mwikooo.
Mtani kama nakuona unavyotamania matokeo yabaki hivi. [emoji41]
Ila mtashinda tu Mtani Kagera watoto wadogo tu kwenu.
Tusubiri tuone second half tutakuja vipi.Ni half time
Kama nakuona vile kimoyoni unavyofurahia. Lol
Ndio ndio watoto wadogo hawa Mtani. [emoji41][emoji41]
Subiri uone utanikimbia Mtani. 😎Kwani bado hamjapata matokeo yenu, mbona matokeo ya kidato cha nne yametoka kitambo tu.
Daah! Sa swali gani hili Mtani?We unataman matokeo yapi?
Hahahahaaaa. Lol.Unatype uku unatetema[emoji16]
Nadhani ni ile red card na Boxer nikama aliangushwa dk za mwisho HT,wanaoangalia kwenye TV watusaidie marudioTusubiri tuone second half tutakuja vipi.
Na Yule kocha nini kinamuwakisha pale kwa mwamuzi pale?
Mpira ni 90 mins lakini.Labda washinde na njaa[emoji16]
Itakuwa ni hiyo kadi ya Banka basi.Nadhani ni ile red card na Boxer nikama aliangushwa dk za mwisho HT,wanaoangalia kwenye TV watusaidie marudio
Hahahahahahahahah Ngoja nicheke tu.Mpira ni 90 mins lakini.
😀😀😀 mi nitaamini mpira ukiisha na si sasa Mtani.
Molinga hayupo, hata kwenye sub hayupoKwani hajapata faulo tusawazishe?
Mo Linger Fundi wa mpira