Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Hahaha swali lako limenifanya nicheke sana Shadeeya, huna jinsi utanitag hivyo hivyo tu pia utazoea ni swala la muda tu😉😉Ntakutag vipi Shadeeya mie? 🤔🤔🤔🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha swali lako limenifanya nicheke sana Shadeeya, huna jinsi utanitag hivyo hivyo tu pia utazoea ni swala la muda tu😉😉Ntakutag vipi Shadeeya mie? 🤔🤔🤔🤔
Naungana na wewe muda utasemaNimecheka sana Mtani kuna sehemu Wana Simba wenzio wanamwaga matusi utadhania imethibitika Kabwili kaongopa. Tuacheni muda ndio utazungumza na kutenganisha pumba na mchele.
#Ilaaibusana
Kuvaa koti jipya Mtani. 😀😀😀Ndio nini sasa nini?
Halafu cha ajabu Kabwili ndio wamemkalia Kooni.
Wa ajabu sana hawa Watani zetu Swahiba. 😀😀
Hii issue ya rushwa ikifuatwa kiuweledi itawaacha uchiWa ajabu sana hawa Watani zetu Swahiba. 😀😀
Yaani ila sijui kama wataifuatilia ipasavyo.Hii issue ya rushwa ikifuatwa kiuweledi itawaacha uchi
Hakika Mtani. Japo si ajabu pia yakaisha juu juu tu.Naungana na wewe muda utasema
Simba nguvu moja
Ni kweli yanaweza yakaisha juu juu ila binafsi siamini kama tuhuma ni za kweli.Hakika Mtani. Japo si ajabu pia yakaisha juu juu tu.
🤔🤔🤔 Hivyo hilo jina ndio linasomeka troizieme eee?
Yakiishia juu juu ujue yana ukweli ila wanaogopa kuwaaibisha Mtani. 😎😎Ni kweli yanaweza yakaisha juu juu ila binafsi siamini kama tuhuma ni za kweli.
Oooh. Nikijulie wapi Mtani hicho Kifaransa. 🤣🤣Hahaha jina linasomeka hivi 'twaiziem' hicho ni kifaransa
Troisième Ceil = Third Eye
Hapo nimekubali amejibu vizuriKiungo mshambuliaji wa Yanga Bernard Morrison amesema anapofanya mbwembwe uwanjani halengi kuwadhihaki timu pinzani bali ni mahsusi kwa ajili ya kuwapa burudani mashabiki ambao wamelipa viingilio kuingia uwanjani
Aidha Bernard ameongeza kuwa hatafanya matukio hayo wakati wote, isipokuwa pale ambapo timu iko kwenye mazingira ya uhakika wa kuondoka na ushindi
Morrison ametoa kauli hiyo siku moja baada ya kocha Luc Eymael kueleza kutofurahishwa na matukio hayo ambayo aliyafananisha na dhihaka kwa timu pinzani "Mashabiki wanakuja uwanjani kuona timu yao inashinda, ndio maana wanalipa viingilio, lakini ninapoona timu inaongoza vizuri huwa naona ni bora kufanya kitu ambacho kitawapa burudani zaidi mashabiki wakienda nyumbani wapate cha kusimulia zaidi," amefafanua Morrison. "Nafikiri kocha yeyote hawezi kukubali hilo moja kwa moja, namheshimu kocha wangu (Eymael) kwa alichoniambia, lakini kwangu nafikiri kuna kitu cha ziada natakiwa kukifanya kama mchezaji, sidhani kama naweza kuacha lakini nitakuwa makini wakati gani nafanya hivyo"
@Yangadaima
Ni nyie tu. 💃💃💃Hapo nimekubali amejibu vizuri
Bora amesema atafanya udambwidambwi timu yake ikiwa inauhakika na ushindi maana anaweza kujitia ujuaji mwisho wake apokonywe mpira watu wakacheke na nyavu, hapo sipati picha Wananchi mtavomgawana kama hamumjui vileee🤣🤣Ni nyie tu. 💃💃💃
Yaani atajuta mana tutayafukia maudambwi udambwi yote kama usemavyo.Bora amesema atafanya udambwidambwi timu yake ikiwa inauhakika na ushindi maana anaweza kujitia ujuaji mwisho wake apokonywe mpira watu wakacheke na nyavu, hapo sipati picha Wananchi mtavomgawana kama hamumjui vileee🤣🤣