Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Kabisaaa. Hivi na Molinga yuko wapi eti?Bora waturudishiehata bakuli tuiwezeshe timu kubeba FA
Mana angalau kwa baadhi ya mechi huwa zinamtokea mtokea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisaaa. Hivi na Molinga yuko wapi eti?Bora waturudishiehata bakuli tuiwezeshe timu kubeba FA
Hizi kauli hazikawiagi kutuchawia mwishowe tukatoka patupu.Tusiandikie mate na wino ungalipo, tusubiri tuone😀
😂😂😂 Ipo siku yake. Atablooo.Huyu sijui katumwa
Eti eee! 😳Ni juzi tu hapo hata mtoto mdogo anakumbuka
Wacha kabisa.Pole sana mamii, kumbe kidonda bado kibichiii😀😀😀
Poleni sana sana ndugu Wananchi maana inakua kama ile hadithi ya anayezama kwenye maji, akiona hata unyasi anadhani utamuokoa🤣🤣🤣Kabisaaa. Hivi na Molinga yuko wapi eti?
Mana angalau kwa baadhi ya mechi huwa zinamtokea mtokea.
WamepoooaYanga barrrdiiiiiiii
Jk online.
Kumbe huna sababu ya kushindwa kuungana naoNaweza nikawa mmoja ya watu wanaojua kutabiri mana wakati nimeshapost nikawa nawaza kwamba utauliza hiki ulichokiuliza. Lol.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Zinabaki 50 kama sikosei.
HIZI NAZO TUZIITEJE Ses?
Tuwache na ubardi wetu 😉 na tarehe nane tutaona nani mkali.Yanga barrrdiiiiiiii
Jk online.
Wacha ituue 💃💃💃Wamepoooa
Ile yenu ya mechi sita tuiiteje sasa Mkuu?Double dabali fc
Na mbinguni hamuendi🤣Wacha ituue 💃💃💃
😅😅😅Na mbinguni hamuendi🤣
TIMU YA WANANCHI IMERUDI SALAMA DSM KUJIANDAA NA MECHI YA JUMATANO DHIDI YA GWAMBINA.
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
@Yangasc
Sare fc swalamaaaa+