Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Wakaona wamuwahi kwa kimnyang'anya simu😀Yule jamaa noma mana anageachwa kidogo tu habari yake wangeipata twitter 😅😅😅😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakaona wamuwahi kwa kimnyang'anya simu😀Yule jamaa noma mana anageachwa kidogo tu habari yake wangeipata twitter 😅😅😅😅
Mganga wenu naona aliamua kuhamishia kipigo kwa mtoto wenu (singida)Safari ingine na nyie muutafute ulipo sasa huo uchawi. [emoji3]
Dr aw bado mkuuShadeeya kidunula1 Chikwuemeka Danpol Mgagaa na Upwa hivi ni kweli nimesikia habari wametupangia mikia tena kwenye Fa cup?
Kama ni kweli muwape salamu zao kutoka kwa morrison anasema atawatungua kila tukikutana 😀 😂
Draw bado,usiwatishe mikia mkuuShadeeya kidunula1 Chikwuemeka Danpol Mgagaa na Upwa hivi ni kweli nimesikia habari wametupangia mikia tena kwenye Fa cup?
Kama ni kweli muwape salamu zao kutoka kwa morrison anasema atawatungua kila tukikutana 😀 😂
Hahahahaaa!!! Kile kipigo hakisahauliki kamwe.Mganga wenu naona aliamua kuhamishia kipigo kwa mtoto wenu (singida)
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaa!! Bado.Shadeeya kidunula1 Chikwuemeka Danpol Mgagaa na Upwa hivi ni kweli nimesikia habari wametupangia mikia tena kwenye Fa cup?
Kama ni kweli muwape salamu zao kutoka kwa morrison anasema atawatungua kila tukikutana 😀 😂
Iwage hivyo tuwanyooshe kwa mara ingine.Dr aw bado mkuu
😅😅😅Draw bado,usiwatishe mikia mkuu
Maana wanajikaza tu kwa kudai tukutane fa huku mioyoni mwao hawataki kitu kama iko kitokee 😂,wameshika adabu😅😅😅
Alafu shule ya msingi mwananyamala kisiwani au shule ya msingi mwananyamala B,,,kivumbi hicho
Itakuwa jana tumetoa ist za kutosha sio kwa kipigo kile