Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

20200205_124109.jpg
 
Huyu jamaa Wa kuitwa Ali Niyonzima sasa sijui ni ndugu Wa Fundi Haruna! anadaiwa ni kiungo mkabaji Wa Rayon Sports ya Rwanda Shaffih Dauda anadai tupo kwenye mkakati Wa kufanya awe mwananchi na ni pendekezo la Mwalimu Mkuu.
 

Attachments

  • IMG-20200417-WA0027.jpg
    IMG-20200417-WA0027.jpg
    19.9 KB · Views: 2
GSM WAFANYA SUPRISE KWA WACHEZAJI WA YANGA

Mdhamini wa Klabu ya Yanga jana 20.04.2020 alifanya Suprise ambayo wachezaji hawakuwa wameitarajia. Wachezaji wa Yanga waliitwa na Meneja wa Timu Abeid Mziba kuwa anaomba kukutana nao Mlimani City Bila kuwaambia anakusudia kufanya nini kwa wachezaji hao.

Baada ya wachezaji kufika Mlimani City walipelekwa moja kwa moja kwenye Duka la GSM ndani ya Mlimani City na kukabidhiwa VOCHA YA SH. LAKI SITA KILA mchezaji na kutakiwa kutumia VOCHA hiyo kwenye maduka Ya GSM kwa kujipatia Bidhaa wanayoitaka.

Wachezaji walifurahishwa sana na Jambo hilo. Nasasa GSM inakusudia kuwaalika wachezaji Waliooa kuwapeleka Wake zao kwa Suprise ambayo GSM hakuitanabahisha. Wachezaji ambao wapo nje ya Dar watakutana na Vocha zao wakirejea.

20200421_092158.jpg


20200421_092134.jpg
 
Back
Top Bottom