Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Weweee!! Hebu tuwache watu wa La LigaNa ukongwe wote huo bado mnasubiria kupewa vya bure[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weweee!! Hebu tuwache watu wa La LigaNa ukongwe wote huo bado mnasubiria kupewa vya bure[emoji23]
Labda mshinde juu ya paa
Kama naiona Post yangu kesho itakavyoleta Kasheshe hasa matokeo yakiwa kinyume. LolLabda mshinde juu ya paa
Mnyero Fc. 🚶♀️Mkifungwa nitawaelesha vizuri maana akili ndo zitakuwa ziko sawa[emoji16]
Weweee!! Hebu tuwache watu wa La Liga
We toa macho tu ukitahamaki tumeenda Hispania kucheza game ya kirafiki na Sevilla. 👌[emoji15]
Pole na nyumbani upike kabisa maana ukawii kujifanya umezimia uku umeshikilia Smartphone yako..Kama naiona Post yangu kesho itakavyoleta Kasheshe hasa matokeo yakiwa kinyume. Lol
Ndoto za asubuhi hizo.Atavaa jez nyekundu msimu ujao
We toa macho tu ukitahamaki tumeenda Hispania kucheza game ya kirafiki na Sevilla. [emoji108]
Pole na nyumbani upike kabisa maana ukawii kujifanya umezimia uku umeshikilia Smartphone yako..
Ndoto za asubuhi hizo.
😂😂😂 Bina nshapanga nipike chakula cha moja kwa moja. 😂😂😂Pole na nyumbani upike kabisa maana ukawii kujifanya umezimia uku umeshikilia Smartphone yako..
Hahahaaa. Lazima waijue mana ndio timu waliyoitumia kukomboa goli za kumwaga na kisha kushinda bila presha yeyote.Sevila wanaijua Simba tu hapa Tanzania[emoji16]
Mmh tushachoka kutulisha Makande..😂😂😂 Bina nshapanga nipike chakula cha moja kwa moja. 😂😂😂
Hahahaaa. Umenikumbusha enzi za nyumbani Binamu.Mmh tushachoka kutulisha Makande..
Mbona mgonjwa haponi, mwakani mtashiriki kweli kimataifa??Hahahaaa. Umenikumbusha enzi za nyumbani Binamu.
Tutashiriki ndio. FA ya kwetu.Mbona mgonjwa haponi, mwakani mtashiriki kweli kimataifa??
Naona leo ndo umeibuka. LolMbona mgonjwa haponi, mwakani mtashiriki kweli kimataifa??