Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Muda wenu kucheka Mtani.Wapi GSM 😂😂😂😂😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda wenu kucheka Mtani.Wapi GSM 😂😂😂😂😂😂😂
Morrison Makusu MiquissoneTroisième Ceil na Penison kama nawaona mtakavyompamba huyo mwizzzi. 😎😎😎
Aaah!! Hebu niache kwanza.
Saba hizo veeepeeeee?
Uwiiiii. Nlikusahau.Nne je[emoji16]
Aaahh!! Niseme tu si kila siku inakuwaga jumamosi hivyo msijiaminishe saaaana kwamba mnaeza yarudisha au kuyaongeza kirahisi namna hiyo.Nne je[emoji16]
Ila yataisha tu siku moja.MORRISON: Hii ni Yanga au Utopolo haya mambo ya kijinga haya bwanaa.
Huwezi kuishi na mwanamke mzuri wakati huna hela.Sikukuu yangu naiona kuharibika na sio kwa kumkosa Morison bali kwa kuiona Sura halisi ya GSM.
Morrison anasema kachoka kula mihogo ya kuchemsha na uji wa sembe usio na sukari.Ila yataisha tu siku moja.
hata kwa Tshishimbi aliwaambia keshamalizana naeSikukuu yangu naiona kuharibika na sio kwa kumkosa Morison bali kwa kuiona Sura halisi ya GSM.
Mpaka hapa nakuwa nayapoteza hayo matumaini.Reaction watakayoichukua Yanga pamoja na u serious watakao kua nao ndio utaonyesha yupi alikua muongo na yupi alikua mkweli.
Nakaribia kukuelewa Mtani. 🤔Huwezi kuishi na mwanamke mzuri wakati huna hela.
GSM ni maneno tu hela hawana wale
Uwiiiii. Nlikusahau.
Nasikia mmepindua meza eti?
Aaahh!! Niseme tu si kila siku inakuwaga jumamosi hivyo msijiaminishe saaaana kwamba mnaeza yarudisha au kuyaongeza kirahisi namna hiyo.