Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mikiaaaaaaaaaaa
FB_IMG_15970697508110269.jpg
 
Wewe ni mjinga... Mchezaji anachezaje bila TFF kumuidhinisha?
wewe ndio mjinga zaidi

unajua maana ya ku foji? passport inaonyesha mtu kaja nchini tar 17, ww unapeleka makabrasha siku mbili nyuma yametiwa na sahihi, ..TFF kwann asikupe kibali?? kwann asipokee? mmefoji taarifa na sasa zinawachinja
 
Alafu nyinyi Yanga, kila siku nawaonya kuhusu GSM.. ni wapi hivi wametanganza Senzo ni mwajiriwa wenu au hata GSM ? tulieni kwanza, unaweza shangaa anatupwa kwenye kampuni za GSM Zambia huko
 
wewe ndio mjinga zaidi

unajua maana ya ku foji? passport inaonyesha mtu kaja nchini tar 17, ww unapeleka makabrasha siku mbili nyuma yametiwa na sahihi, ..TFF kwann asikupe kibali?? kwann asipokee? mmefoji taarifa na sasa zinawachinja
We ni mpumbavu wa mwisho hujui na hujawahi kusaini scand docs? Kwamba unasaini kisha unatuma? Barua ya maombi ya kazi za PDF huwa unatumaje ww kilaza? Kazi nyingi unasaini mkataba online. Tanzania wehu ni wengi sana
 
wewe ndio mjinga zaidi

unajua maana ya ku foji? passport inaonyesha mtu kaja nchini tar 17, ww unapeleka makabrasha siku mbili nyuma yametiwa na sahihi, ..TFF kwann asikupe kibali?? kwann asipokee? mmefoji taarifa na sasa zinawachinja
Inaweza kuta na sehemu walipo mpata, ni kijijin sana nasikia
 
Yanga kesho.
Angalia vizuri utaelewa.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
JamiiForums688441714.jpg
 
Back
Top Bottom