Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hilo Swala La Morrison Why Watu Wanaumia?? Yanga Walisema mtukutu Hana Nidhamu Simba Walikuwa Wanasema Mwizi Mara Mjinga Tu Sasa Why leo Hii Vurugu Na Vilio Kila Upande ?? CEO Nae Binafsi Sijaona Official Announcement Toka Yanga Ukizingatia Bumbuli Kakataa Kujibu hilo
 
```MAMBO NI MOTO MOTO NA MORRISON

Baada ya Kikao cha kamati kuhusu Morrison na Yanga tumeweza kupata Dondoo muhimu sana kutoka kwa wahusika ambao baada ya kikao walikutana kutoa mrejesho kwa Boss kubwa (Magodoro) bila kujua nasisi tupo hapohapo.

Kikao kimegundua mambo mengi sana kwenye mkataba wake na kuyaanisha na baadhi ni kama yafuatayo
1. Sahihi ya Mhusika kwenye Mkataba mzima ipo kurasa moja ya mwisho na sio halisi inayoendana na yake kiuhalisia.
2. Mikataba yake una tarehe zaidi ya 3 tofauti 15 January halafu 20 March na 15 July hakijulikani kipi ni kipi.
3. Hakuna Dole Gumba kwenye mkataba wake kuonyesha kuwa ni yeye aliesaini.

Pamoja na hayo yote Kamati ilileta mkataba wa Shikalo kama kielelezo cha kuangalia mikataba mingine ya Yanga inafanyikaje na kukuta
1. Page zote zina sahihi
2. Page zote zina dole gumba

Tukio lingine ni Moja ya Ushaidi wa Morrison ameonyesha Nakala ya email aliotumiwa na Katibu wa Yanga Simon kuwa wananaomba kukaa na kujadili kuhusu mkataba mpya hiyo ni email ya 31/03/2020 swali hapa Yanga walishasema wameingia nae mkataba 20 March kwanini watume hii email tena tarehe hii?

MAAJABU NI HAYA
Tukio lingine ni Mwenyekiti wa Kamati Kuomba Wajumbe wasijadili kabisa kuhusu Mkataba wa Mwanzo wa Morrison ule wa miezi 6 maaana utawaletea shida sana Taasisi nyingi hii inadhirisha kuwa kuna shida ila inafunikwa ili mambo yasiombumbuluke.

Ila imetaka kusikilizwa kwa Tukio la Simb Kumsaini Morrison hata kama halipo kwenye Kesi ili kuweza kupata Balance ya hukumu.

HUKUMU YA LEO IKOJE
Kamati imedhamiria kutoa hukumu ambayo itabalance pande zote ili kutotoa madhara makubwa kwao na ni kumfungia Morrison asicheze mpira Tanzania tena.
Haya yamedhirihirika baada ya Viongozi wa Shirikisho na Mwenyekiti wa Kamati kukubaliana kuwabeba Yanga maana bila hivyo wote watakuwa kwenye matatizo makubwa.

Ila ijulikane wazi FIFA haijawahi kumfungia mchezaji yeyote asicheze mpira sehemu yeyote maana ndio maisha yake hii ikiwa wazi watu wajue hukumu hiyo itawaumbua watu baadae kweupee kabisa.

Ila pia Takukuru wanapaswa kuchunguza mikataba hii yote pamoja na hukumu za leo ili kuweza kuwabaini waongo wote na mkondo wa sheria uchukue haki yake.

Kwa sasa nanyamaza nitaendelea baadae ila kama hamuamini nilichosema subirini hukumu baadae leo mchana ndio mtaelewa nini maana ya hiki hapa.

mtimkavu
07115
IMG-20200811-WA0004.jpg
 
07115View attachment 1533648
kwani yanga wanadai waliingia mkataba mpya lini

Sent from my M4 using JamiiForums mobile app
 
Jifunze maana ya mihemko na jinsi ya ku overcome ndiyo uje uteme upumbavu wako. nmekuambia Al Ahly walimtaka aende kwa majaribio miezi 6 wakimkubali ndiyo wampe mkataba wewe unakurupuka na kutukana!
Mkuu unatafuta logic kwa mwana mikia? Hawa jamaa aliewaita mbumbumbu aliwaheshimu kidogo wanastahili jina baya, chafu la aibu zaidi ya mbumbumbu
 
Jifunze maana ya mihemko na jinsi ya ku overcome ndiyo uje uteme upumbavu wako. nmekuambia Al Ahly walimtaka aende kwa majaribio miezi 6 wakimkubali ndiyo wampe mkataba wewe unakurupuka na kutukana!
Toa source ya taarifa
 
Back
Top Bottom