Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaaa. Aliongeaga hivyo yule jamaa wa Utopolo ujue sio mimi.Mtani umesababisha nicheke kwa sauti aisee.
Kwa hiyo mkipanda basi la timu na kucheza ni kazi yenu itakuwa!
Mi mwenyewe nikabaki nacheka tu yaani hapo alimaanisha wachezaji nao waone vile mashabiki wanapata tabu timu inapofanya vibaya.