Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu unaambiwa wanalingana kiumri.Ukinuna uwe na sababuView attachment 1548261
HATUKATAZI KULAMBA NDIMU JAMANI. 🤣🤣🤣
Huyu mstaafu safari hii lazima tu atasema ukweli ana miaka mingapi [emoji28]Ukinuna uwe na sababuView attachment 1548261
Doooh!!!Mwanamitindo
Hata Morison mlimwitaga mwizzi.Mwanamitindo
Huyu dogo tutamuangalia kama anajua tutamchukua
Hahahaha ,wamewasogezea karibuHuyu dogo tutamuangalia kama anajua tutamchukua
Waache wahangaike[emoji23]Hahahaha ,wamewasogezea karibu
Huyu mwanamitindo aliefanana na dada ake ataweza kupenya ukuta wa Onyango na Wawa kweli?
Kwani mpira ni sura na physical appearance ya mtu?Huyu mwanamitindo aliefanana na dada ake ataweza kupenya ukuta wa Onyango na Wawa kweli?