Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Walijua kuongopa Chama hatokuwepo ni bonge la ujanja. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tunawakerra zaidi leo. Yaani hapo tumewapa kibarua kizzziiittto cha kukomboa.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Sven hajawi Tanguliwa akarudisha, hii mechi imeisha, labda litokee ajabu leo
 
Hivi ndo ile saa Timu ya Wananchi ilikuwa inapasha misuli kabla ya mechi.
20201107_175008.jpg
 
Back
Top Bottom