Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,433
- 8,585
Siongezi neno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha we jamaa una ujasiri yaaani umewafuata hukuhuku kwaoSasa ndiyo muache kujishauwa munaposajili mchezaji musianze kuharisha kuwa hakabiki.
Azam yuko kwenye ubingwa upi we utopoloSifa kubwa ya team kuwa bingwa ni kuchukua point kwenye teams ambazo yuko nazo kwenye mbio za ubingwa
Yanga vs Azam tiari 3
Yanga vs Simba tiari 1
Total 4
Simba vs Azam 1
Simba vs Yanga 1
Total 2
Huwez kuwa bingwa Kama huwezi wa piga unaoshindana nao
Msimu ulioisha ulichukua point 4 kwa simba , ulibeba ubingwa wa wapi ? Kidimbwi ?Sifa kubwa ya team kuwa bingwa ni kuchukua point kwenye teams ambazo yuko nazo kwenye mbio za ubingwa
Yanga vs Azam tiari 3
Yanga vs Simba tiari 1
Total 4
Simba vs Azam 1
Simba vs Yanga 1
Total 2
Huwez kuwa bingwa Kama huwezi wa piga unaoshindana nao
Hii Fujo huwa siiwezi tafadhari umeshinda endelea kwa utakaowezana naoSasa ndiyo muache kujishauwa munaposajili mchezaji musianze kuharisha kuwa hakabiki.
Msimu ulioisha ulichukua point 4 kwa simba , ulibeba ubingwa wa wapi ? Kidimbwi ?
Kujifariji ndio ubingwa wenu msimu huuMkuu msimu huu mbona utapata maumivu double double. Huku Yanga bingwa ughaibuni unapelelekewa moto. Hapo hakuna rangi utaacha kuiona
Mnapomaliza haya maneno mnakuja kushtuka watu tushanyanyua makwapa kitamboKujifariji ndio ubingwa wenu msimu huu
Unaeza kasirika aisee.Bahati nzuri nimemuangalia live hapa Sokoine game imenikuta hapa,ktk harakati za ubingwa atatuangusha
Nadhani hata hukuelewa hii kauli nilipoitumia nilimaanisha nini Mkuu.Unakataje tamaa na mnaongoza league
Halafu wao ndio wa kwanza kusema tuna ndoto za alinacha na wakati wanashindwa kufikiria logic kama hii.Ila vitu vingine vinashangaza Mikia mnang'ang'ania Yanga hawezi kuwa bingwa mpaka sasa mumempita Points ngapi kwa huo ubora wenu mulio nao.
Mana kama mngekuwa bora mlipaswa mtuache mbali sana, sasa ikiwa mpaka viporo vyenu mlivyo navyo mufanikiwe kuvila ndio tunakuwa points sawa, sasa huu ujasiri wa kwamba Yanga haezi kuwa bingwa mnautoa wapi.
Haya maneno wanapaswa ziongee zile timu ambazo unakuta ziko mechi sawa na wenzake lakini anaongoza points hata 10 au zaidi na ligi ndo inaelekea ukingoni sasa wewe uko points sawa na yule mwenye kikosi kibovu halafu unasema hastahili kuwa bingwa niseme tu haya ni matumizi mabaya ya akili. Lol.
Mkisema Yanga atapoteza sijui atapata sare nyie hamuwezi kupoteza na kupata sare?
#Amkeni usingizini.
Kiukweli tu mpaka sasa wakisema kwamba ubingwa Yanga haezi kuchukua ni sawa wanajidanganya tu sababu mpaka sasa hamna kinachowapa 100% kwamba wao watakuwa mabingwa wakati kuna mechi kibao mpaka ligi imalizike.Halafu wao ndio wa kwanza kusema tuna ndoto za alinacha na wakati wanashindwa kufikiria logic kama hii.
Hawa jamaa akili zao wengi ni fyatu. Wameshinda dhidi ya Vita wanapata mawenge wanaona wanaweza kushinda kila mechi EPL.Kiukweli tu mpaka sasa wakisema kwamba ubingwa Yanga haezi kuchukua ni sawa wanajidanganya tu sababu mpaka sasa hamna kinachowapa 100% kwamba wao watakuwa mabingwa wakati kuna mechi kibao mpaka ligi imalizike.
Kuwa makundi Champions League sio tiketi ya kuwa mabingwa wa VPL hili inapaswa walijue pia.
Inabidi wajitafakari aisee.Hawa jamaa akili zao wengi ni fyatu. Wameshinda dhidi ya Vita wanapata mawenge wanaona wanaweza kushinda kila mechi EPL.
Wanasahau kuna baba yao Yanga, kuna mdogo wao Azam ambaye kawatoa kamasi juzi kati hapo na pia wapo mpaka vilembwekeza na wanasumbua sana. Sijui wao wanajikuta nani!!
Kweli kabisa. Upo wakati sahihi kuanza kujivuna na kupiga vijembe kwa wapinzani lakini siyo sasa wakati league ikiwa bado mbichi na kuna za ya mechi 15 bado hazijacheZwa.Inabidi wajitafakari aisee.
Upo muda wa kutamba tena wakiwa na asilimia kubwa ya Ubingwa ila sio sasa ambapo mpaka sasa ni 50 kwa 50.
Hakika.Kweli kabisa. Upo wakati sahihi kuanza kujivuna na kupiga vijembe kwa wapinzani lakini siyo sasa wakati league ikiwa bado mbichi na kuna za ya mechi 15 bado hazijacheZwa.
Simba foolish kabisa