Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
😂😂😂😂Hahaha hahaha hahahaha kiaz ww
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂Hahaha hahaha hahahaha kiaz ww
Inaweza kuwa mbovu ila ubovu wake usifanye ikawa inakandamizwa!Mnaonewa Kwa kipi ASA mlichonacho?. kwani MSIKUBALI kuwa timu yenu ni mbovu
Hata ninyi mkitoa droo mtapongezana sana!Simba hii sio Ile mlioizoea simba mwaka huu anamuua Al ahly.
Tumesajili vizuri Kwa ajili ya mashindano hayo hatuna wasiwasi.
Droo Al ahly kashinda
Inaweza kuwa mbovu ila ubovu wake usifanye ikawa inakandamizwa!
Ha ha ha alikuwa hajui tu anachoongea. Kama akili zitarudi basi atajitafakari sanaSi ndio kasema wanaeza kaa meza moja eti kwa sasa na sio Yanga.
Hata ninyi mkitoa droo mtapongezana sana!
Kwa hiyo wakati Wa kutengeneza timu inabidi tuwe tunanyimwa haki zetu siyo!?Tengenezeni timu acheni lawama
Ha ha ha alikuwa hajui tu anachoongea. Kama akili zitarudi basi atajitafakari sana
Jichanganyeni tu na waamuzi wenu. Mtawaponza tunawaambia!USIKU WA DENI.....[emoji16][emoji16][emoji16]
Sahizi anaongoza nani!!Mlipokuwa mnaongoza ligi.mlikuwa mnawaomba GSM wawaletee makoti kileleni kuna baridi Sana.
Leo tena imekuwaje mnaonewa?
Jichanganyeni tu na waamuzi wenu. Mtawaponza tunawaambia!
Sahizi anaongoza nani!!
Baridi pale juu Bado inaendelea kutupataMlipokuwa mnaongoza ligi.mlikuwa mnawaomba GSM wawaletee makoti kileleni kuna baridi Sana.
Leo tena imekuwaje mnaonewa?
Baridi pale juu Bado inaendelea kutupata
Nanunua Screenshot ya Simba kuongoza ligi
Leo wakifungwa wanasusa[emoji38]Mlipokuwa mnaongoza ligi.mlikuwa mnawaomba GSM wawaletee makoti kileleni kuna baridi Sana.
Leo tena imekuwaje mnaonewa?
Leo wakifungwa wanasusa[emoji38]