Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaa. Haya bana.Hahaha! Kwakweli sipo njano au kijani Mimi mshabiki wa Taifa star's[emoji3][emoji3]
Tupo Mdogo wangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa. Haya bana.Hahaha! Kwakweli sipo njano au kijani Mimi mshabiki wa Taifa star's[emoji3][emoji3]
Hebu huko na wewe. 🙃🙃🙃🙃Wana Yanga wenzangu tusiwe na hofu huu ubingwa ni wakwetu hawa PAKA FC watateleza tu, muhimu tushinde mechi zetu.
Au nasema uongo Yanga wenzangu?
eti Shadeeya
Sawa! Uwe na siku njema!!Hahahaa. Haya bana.
Tupo Mdogo wangu.
🙏🙏Sawa! Uwe na siku njema!!
Toeni mapema acheni uwoga nyie,au mnadhani tutawapiga mziki??Bado nadhani baadae baadae watakitowa mana mechi yenyewe inachezwa usiku 20:15hrs.
😂😂 Mtani naona unataka tufanane. LolToeni mapema acheni uwoga nyie,au mnadhani tutawapiga mziki??
Hamtuonagi wenzenu sisi unakuta juziiiiii Gomes anakuwa tayari ameshaweka mambo hadharani
Magazeti ya kesho jumatatu. "Shadeeya apatwa na muhaho kufuatia kipigo cha mbwa koko kutoka kwa Azam"Hebu huko na wewe. 🙃🙃🙃🙃
Naona mnashinda goli zile zile ambazo huwa mnatumbeza nazo. Bado sare nazo. Lol
Hizi bukta ni pana sana zinazuia pace
Kama nakuona vile na dua yako mbaya. 🙃Magazeti ya kesho jumatatu. "Shadeeya apatwa na muhaho kufuatia kipigo cha mbwa koko kutoka kwa Azam"
Hivi kwani ndo hizi wanachezaga nazo Uwanjani?Hizi bukta ni pana sana zinazuia pace
Sina uhakikaHivi kwani ndo hizi wanachezaga nazo Uwanjani?
Mnataka mkiwangie[emoji706]Toeni mapema acheni uwoga nyie,au mnadhani tutawapiga mziki??
Hamtuonagi wenzenu sisi unakuta juziiiiii Gomes anakuwa tayari ameshaweka mambo hadharani
Alipokwisha kusema hayo akatoka akaenda zake.Kama nakuona vile na dua yako mbaya. 🙃
Niseme tu tutapata matokeo.