Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

[emoji23][emoji23][emoji23] kikosi Cha maangamizi[emoji116]
JamiiForums-286950011.jpg
 
Gimu bado tujenge timu kwanza na apa tulipo ni kwa kudra kiukweli timu yetu bado dhaifu mno tunapaswa kuukubali ukweli na kuijenga timu kwa nguvu zote ili msimu ujao tuwe na timu tushio haya ni mapito tu jamani timu yetu bado iko weak sana
 
Wana Yanga wenzangu tuendelee kuisapoti timu hadi mwisho Wa msimu ili tuweze kupata moja ya nafasi 2 za juu huku tukiamini timu itakuwa imara zaidi msimu ujao. Ila uongozi wetu haufai kuendelea kusalia hasa Mwenyekiti, Makamu wake!
Mashabiki mnajituma sana.
Ila viongozi mliokuwa nao ni kipengele
 
Hebu huko na wewe. [emoji854][emoji854][emoji854][emoji854]

Naona mnashinda goli zile zile ambazo huwa mnatumbeza nazo. Bado sare nazo. Lol
Mechi nne tumefunga goli 9 , wastan wa goli zaid ya mbili kwa mchezo
 
Back
Top Bottom