kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
Na nyie ni wale wale tuHapo kwa 5imba sawa sawa kabisa. Hahahahaaaaaaaa. Hujakosea.
Anatolewa kesho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na nyie ni wale wale tuHapo kwa 5imba sawa sawa kabisa. Hahahahaaaaaaaa. Hujakosea.
Anatolewa kesho.
Uzuri saa tisa sio mbali.Na nyie ni wale wale tu
Nitakuwa nakunywa stone tangawizi kushushiaUzuri saa tisa sio mbali.
Sio zile za kwenye Avatari yako ya zamani. 😀🏃♀️🏃♀️🏃♀️Nitakuwa nakunywa stone tangawizi kushushia
[emoji16] nimeokoka sikuiziSio zile za kwenye Avatari yako ya zamani. [emoji3][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Au nimejichanganya mana uzee unakuja kwa kasi.
Hapo sawa.
Sema hii game mmependelewa 89%. Ya wana tabora ni YangaHapo sawa.
Naona unaanza kuja kuja. Lol.
Kikawaida Yanga na 5imba huwa zina mashabiki wengi sana Mikoani hivyo hata hamna kupendelewa hapo.
Leo mtafurahishwaKikawaida Yanga na 5imba huwa zina mashabiki wengi sana Mikoani hivyo hata hamna kupendelewa hapo.
Letis weiti endi sii. 😎
Mjiandae tu kuzimia , hata mkamie vipi lazima tuwatafune tuSijajua kwa Wiki ijayo mana hizi game za FA zinachezwa leo na kesho.
pole sana aisee ndo ukubwa huo.Halafu kihere here cha kukutag wacha jana nichambwe. 🤣🤣🤣🤣
Sina hamu. Lol
sawa muda utasema.Leo tunawanyoosha hao.
Kwani tarehe 3 mbali basi. Hamkawii kusema tumeloga.Mjiandae tu kuzimia , hata mkamie vipi lazima tuwatafune tu
🙏pole sana aisee ndo ukubwa huo.