Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]haaa' kama hivyo basi wasishinde usije ukatuchafulia mji wetu.Leo yanga mkishinda naenda kunya pale posta
Anza kuvua nguo hizo uanze kutuchafulia Jiji.[emoji23][emoji23]Leo yanga mkishinda naenda kunya pale posta
Kwa kweli. 🤣🤣🤣Feisal Ajengewe Sanamu Lake Kila Mkoa.
Logeni tu, mpira haudundi kwenye topeKwani tarehe 3 mbali basi. Hamkawii kusema tumeloga.
Mlimbeba Hersi kwenye kiti kuanzia airport hadi katikati ya jiji. Yaani haijatosha tu, mnataka kumjengea Feisal sanamu?Feisal Ajengewe Sanamu Lake Kila Mkoa.
Afadhali umelijua hilo ili tukiwafunga musiwasingizie waganga.Logeni tu, mpira haudundi kwenye tope