Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hongera kwa ushindi Shadeeya mmeonesha mchezo mzuri, hakika mmestahili ushindi.

Mmelitia mchanga biriani letu sasa tungelila vipi.

Simba nguvu moja
SIMBA BINGWA
Siku nyingine mkiona Rais kaalikwa kwenye game yetu mkimbie tu. Na tuna mipango hata Kule Kigoma Mama atakuwepo, Sasa jipendekezeni kuleta timu mtakachokumbana nacho Ni zaidi ya leo.
 
Wananchi tunaamka namna hii.
20210704_082012.jpg
 
Mzee ana watu...sio akina Manara kele kele tu wakiona camera,kuwa na watu bwana ushinde big match[emoji23]
 
Back
Top Bottom