Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tungezabuana vibao wenyewe kwa wenyeweAfadhalia wamemleta huyu mana zile rumos za Metacha hazikuwa na afya ndani ya Timu ya Wananchi.
Never seen before![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2064367
Akili ya haraka sana!Antibayotic fundi wa mpira.
Kwa kweli tusingemvumilia.Tungezabuana vibao wenyewe kwa wenyewe
Dodoma Jiji jana alinyanyasika ila makolo ndo wamenyanyasika zaidi. 🤣🤣Never seen before!
Hahahaaa. Wamebakia kumbwagia lawama Mavunde. LolSimba wakiifungaga Dodoma goli moja tena wakiwa nusu huwa wanashangilia hadi wanavua nguo uwanjani. Mwaka huu tumewashika kunako!
Kuna sehemu nilikuwa naangalizia mpira wakati hali ya Dodoma jiji ilipozidi kuwa mbaya kuna Makolo wwkavua hadi nguo wanataka kupigana!Dodoma Jiji jana alinyanyasika ila makolo ndo wamenyanyasika zaidi. [emoji1787][emoji1787]
Hahahaaa. Pole kwao.Kuna sehemu nilikuwa naangalizia mpira wakati hali ya Dodoma jiji ilipozidi kuwa mbaya kuna Makolo wwkavua hadi nguo wanataka kupigana!
Subiri mwishoni. Ligi mbichi hiiHahahaaa. Wamebakia kumbwagia lawama Mavunde. Lol
Wakubali tu Yanga hii haishikiki wala kukamatika.