Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

1st XI Line Up.
yangasc-20220215-0002.jpg
 
Ni Ya Kukosa Mechi Tatu Pamoja Na Faini Ya 1mil Kwa Kosa La Kumgusa Kwa Kiwiko Mchezaji Wa Police Tanzania.
Ooh!! Nikajua ile mechi na Mbeya City.

Ila adhabu ikiisha atajifunza kitu na kupunguza ule ujanja ujanja wake sababu mwamuzi anaeza asione ila hizo kamati sasa na mwishowe akajikuta anakosa tena mechi ambazo tunamuhitaji.
 
Kila la kheri Timu ya Wananchi dhidi ya Biashara United.
20220215_191407.jpg

#DaimaMbeleNyumaMwiko.
 
Back
Top Bottom