Hardlife
JF-Expert Member
- Apr 11, 2021
- 2,758
- 6,299
Sema Kumpiga sio KumgusaNi Ya Kukosa Mechi Tatu Pamoja Na Faini Ya 1mil Kwa Kosa La Kumgusa Kwa Kiwiko Mchezaji Wa Police Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema Kumpiga sio KumgusaNi Ya Kukosa Mechi Tatu Pamoja Na Faini Ya 1mil Kwa Kosa La Kumgusa Kwa Kiwiko Mchezaji Wa Police Tanzania.
Kila la kheri wanajeshi wa mpakaniKila la kheri Timu ya Wananchi dhidi ya Biashara United.
View attachment 2120309
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
🤣🤣🤣🤣Leo mnafungwa halafu munakufa kwa preshaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaaa. Inabidi ukiulize tena kile kibuyu. 🤣🤣🤣Kila la kheri wanajeshi wa mpakani
Mpaka sasa una lingine. 🤣🤣🤣Kila la kheri wanajeshi wa mpakani
Narudia kukumbusha kumjengea Sanamu lake muhimu. 😀😀😀Mayele uko
Narudia kukumbusha kujengewa Sanamu lake muhimu. 😀😀😀
Hakika Mkuu.Liwekwe mitaa ya msimbazi 😂😂
Hahahaaa. Imebakia kujipigisha Ban tu sasa. 🤣🤣🤣🤣Kila la kheri wanajeshi wa mpakani
Kauli ya mtu aliyeanza kukataa tamaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wachezaji wetu wasisahau kwamba goli hulindwa na goli sababu bila hivyo wanaeza komboa kisha wakapaki basi wakisubiria bahati nasibu ya Penalties.
🤣🤣🤣Jamani Huu Ushangiliaji Wa Kutetema Ni Burudani Tosha Walahi.