msomi uchwara
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 4,280
- 7,903
Bado mechi ngapi tuwe mabingwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa. Lol.Huu Msimu Ndugu Zetu Watatafuta Kila Sababu Ya Kujitetea Kuukosa Ubingwa Wameanza Na Sababu Ya Yanga Kutembeza Bahasha Za Kaki Ila Chonde Tu Mwishoe Wasijekujitetea Kuwa Walipoteza Ubingwa Sababu Wachezaji Wao Muhimu Walifariki [emoji23][emoji23]
Mmechelewa sana kutafuta makoti, kipindi chote tokea mwaka jana mlikuwa mna survive vipi na baridi kali?Mkuu Kichwa Kichafu tuanzeni kutafuta makoti hebu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😀😀😀Mmechelewa sana kutafuta makoti, kipindi chote tokea mwaka jana mlikuwa mna survive vipi na baridi kali?
We Subiri Uje Usikie Sababu Zao, Mara Utaskia Ligi Ya Mwaka Huu Mbovu Marefa Hawakuwa Makini Sijui Viwanja Vya Mikoani Vibovu [emoji23]Hahahaaa. Lol.
Hawakawii eti. Teh teh.
Heheheheeee, Yanga itachukua back to back 5 watake wasitake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]The best 007 [emoji3] Sisi ndo Wananchi bana.
Hakika Mkuu. Kikubwa Kikosi chetu kiwe imara siku zote.Heheheheeee, Yanga itachukua back to back 5 watake wasitake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hizi kauli huwa tumeshazizowea na ndo zinafanya Ligi izidi kuwa nono. 🤣🤣We Subiri Uje Usikie Sababu Zao, Mara Utaskia Ligi Ya Mwaka Huu Mbovu Marefa Hawakuwa Makini Sijui Viwanja Vya Mikoani Vibovu [emoji23]
Mwisho watasingizia vita ya UkraineHuu Msimu Ndugu Zetu Watatafuta Kila Sababu Ya Kujitetea Kuukosa Ubingwa Wameanza Na Sababu Ya Yanga Kutembeza Bahasha Za Kaki Ila Chonde Tu Mwishoe Wasijekujitetea Kuwa Walipoteza Ubingwa Sababu Wachezaji Wao Muhimu Walifariki [emoji23][emoji23]
Kabisa Mkuu Then Wakija Shtuka Tayari Tunanyanyua Makwapa [emoji23]Hizi kauli huwa tumeshazizowea na ndo zinafanya Ligi izidi kuwa nono. [emoji1787][emoji1787]
Yaani we unalalamika huku mwenzio anasonga mbele.
Na Vitu Kupanda Bei [emoji23][emoji23]Mwisho watasingizia vita ya Ukraine
Hofu yangu tarehe 30 wasije wakasingizia wachezaji wao wana mafua[emoji28]Hizi kauli huwa tumeshazizowea na ndo zinafanya Ligi izidi kuwa nono. [emoji1787][emoji1787]
Yaani we unalalamika huku mwenzio anasonga mbele.
Jamani na huo ndo Msimamo wa Ligi. [emoji1787][emoji1787] View attachment 2178446